Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

Kumbe bila lowasa chadema hawana mgombea? Hv ukawa kama hawawezi kuchukua nchi kwa nini wameungana?

Kwa nini upo kwenye chama kisicho na malengo? Acheni ufisi kusubiri mifupa. Na tangu lini mfupa ukawa msafi?
 
Ndio hapo ninapozidi kuwashangaa magamba…mihimili yote( polisiccm,takukuruccm,mahakama ccm,usalamaccm) iko upande wao…sasa kwa nini hawakumtia hatiani??Na kawaaambia kama mnaushaidi muupeleke mahakamani,,na mbona hamjampeleka??
Na baada ya kujiudhuru mbona kuna kashfa kubwa zimelimaliza taifa hili?? kuna Meremeta, Hela za EPA,hela za Rada,Anglo,Escrow,hela za katiba mpya,hela za gesi la bomba la mafuta kutoka Mtwara…nk mbona hata mmoja amejiudhuru?? Hata kama kweli ameiba ktk Richmond (ijapo mahakama haijathibitisha), utaona Richmond ni peunats!!!
Tatizo kuu hapa ni mfumo mzima wa CCM ufumuliwe tuanze upya

1. Kwa hiyo leo CDM ni wafuasi wa CCM na wanakubaliana nao kuwa ufisadi hakuna wala mafisadi hakuna sababu hakuna walioshitakiwa kwa "ufisadi" na hivyo basi ufisadi ni hila na chuki za watu binafsi??!!! List of shame unaiweka wapi kati ya hila na chuki??!!

2. Tuufumue mfumo tuanze upya, tuwaachie wafungwa wote huru maana mfumo uliowafunga ndio wenye tatizo haswa, EPA, ESCROW,MEREMETA zooote ni hila na chuki kwa waliopiga mboga. . . . .tatizo ni mfumo tu sio waliopiga
 
Mi nulifikiri umekuja na ufafanuzi na ushahidi kama ametoa huko ndani kwamba yete ni msafi…!! Mi ili apate kura yangu inabidi ajikaange aseme ukwel wote na ushahidi kwamba kashfa zote alisingiziwa mpaka sasa na amtaje muhusika mkuu kwa kuweka ushahidi adhalan sio porojo tu…

NB:- AJUE AKITOA USHAHIDI AEPUKE KUSINGUZIA WATU MAANA ATASHTAKIWA KAMA HANA USHAHIDI NA AJUE ATAKUWA NJE YA BUNGE MUDA HUO KWA MAANA HANA ILE KINGA AIPATAYO AKIWA NDANI
 
Kumbe bila lowasa chadema hawana mgombea? Hv ukawa kama hawawezi kuchukua nchi kwa nini wameungana?

Kwa nini upo kwenye chama kisicho na malengo? Acheni ufisi kusubiri mifupa. Na tangu lini mfupa ukawa msafi?

Njia rahisi ya kuzima moto ni kutumia moto huo huo ndivyo wahenga walivyo sema. Au hujui wahenga ni wanani. pia wahenga hao hao walisema kuwa mchawi mpe mwanao alee. CCM kama moto unapo kuwa unawaka hakuna njia iliyo katika Uwezo wetu kwenda kuuzima. Atakayepinga ukweli huu basi haijui CCM. CCM kama chama cha siasa kina raslimalj vitu nyingi na zote CCM hawakuzipata kihalali na nyingine bado wanazimiliki kiharamuu. Vyombo vyote vya dola wameviteka kufuata matakwa yao. Vitabu na nyaraka nyingi na mitambo ya kuviandikia vipo ccm. Vyombo vya habari vyote ni karibu vya ccm. Wasomi wazuri wapo ccm na mengine mengi. CCM is the super giant. Katika u giant huo ccm inaendelea kuwa moto. Unaendelea kuunguza. Tunazidi kuungua. Kama wahenga walivyosema ni kuuchukua moto huo huo na kuuwasha kutokea upande mwingine. CDM/UKAWA wamemkuta Lowassa ndio moto wanaupeleka upande mwingine kuuwasha. Japo hata kama ni mchawi ndiye wakumpa Mtoto wako kulea. Ndivyo wahenga walivyo shauri.
 
Kumbe bila lowasa chadema hawana mgombea? Hv ukawa kama hawawezi kuchukua nchi kwa nini wameungana?

Kwa nini upo kwenye chama kisicho na malengo? Acheni ufisi kusubiri mifupa. Na tangu lini mfupa ukawa msafi?
2005 walimtaka kikwete ikashindikana, 2010 wakamtaka Sita ikashindikana. 2015 wamefanikiwa kulipata fisadi papa, waache wakasambaratke nalo.
 
Lowassa safi? safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....kura yangu ni kwa lowassa....nimebadili mawazo, ilikuwa nimpe magufuli ila yupo ccm...mfumo utammeza tu...
 
Kwa kuwa hakuna alieshtakiwa kwa UFISADI hapa nchini hii nchi hayupo fisadi hata mmoja. Niambie alieshtakiwa ni nani. Zote hizo, EPA, RIchmond, Meremeta nk ni tetesi tu. Inashangaza mno, tena mno. Change na Tibiijuka wamepokea 1.6b wakiwa wako madarakani, hawajapelekwa mahakamni hivyo wako sawa kabisa. Wamepata stahiki yao. Ni wasafi mno.
Kutopelekwa mahakamani si sababu ya kusema fulani ni mtu safi. Pitia ripoti ya Warioba kuhusu rushwa ndo ujue tumesimama wapi.
 
Kumbe bila lowasa chadema hawana mgombea? Hv ukawa kama hawawezi kuchukua nchi kwa nini wameungana?

Kwa nini upo kwenye chama kisicho na malengo? Acheni ufisi kusubiri mifupa. Na tangu lini mfupa ukawa msafi?

Hujui kwamba mfupa ndio hutengeneza damu mwilini mwako?

Ukitaka kuuona kwamba mfupa ni msafi na hauhitaji kuchafuka basi pata kansa ya mfupa utaouona umuhimu wake.
 
Mtalia lia sana mwaka huu mpaka october mtakuwa hamna cha kuandika
 
Watu wengi wataishangaa kauli yangu, watakaa midomo wazi na kujiuliza maswali kibao moja ya maswali watakayojiuliza ni kama yafuatayo.

Anasema EL ni msafi wakati alithubutu kumuita Fisadi?

Usafi wake uko wapi au kwa kuwa kahamia Chadema?

Huyu anayesema haya ni mamluki au Chadema kweli?

Hayo ni baadhi tu ya maswali japo najua kuna maswali mengine mengi zaidi juu ya mh EL.

Wanapoendelea kujiuliza ni vyema na mm niwaulize maswali kadhaa kama ifuatavyo?

Kama EL ni mwizi au fisadi ni kwanini hadi leo hajakamatwa na kupelekwa Mahakamani?

Je hajakamatwa kwakuwa serikali ni dhaifu au haijui sheria inazosimamia yenyewe au iliogopa kuumbuliwa zaidi?

Toka 2008 hadi leo nini kimefanyika baada ya EL kwa kulinda heshima yake na kuamua kujiweka pembeni?

Tunadhani ni kwanini jina lake liliishia njiani? papo hapo jiulize kwanini Rizone alitweete akionesha hayupo tayari kuona Rais akitokea kaskazini kipindi cha Uhai wake?

Je ni kwanini Rais JK hajawahi kuthubutu kumsema EL hadharani?

Je ni kwanini Upinzani walimpiga sana mitandaoni na hata majukwaani lakini leo wapo meza moja?

Ni kwanini CCM walimuamini tena 2010 akapeperusha Bendera yao jimbo la Monduli? utamuaminije Mwizi?

Je ni nchi gani upinzani ilishawahi kuing'oa serikali bila kutumia watu waliokuwepo au waliopo Madarakani?

Je tunapenda kuendelea kuwa masikin kwa mfumo uliopo?

Bado nina maswali ambayo sitayamaliza sasa hivi ila endelea na ww kujihoji na kujipa majibu huku ukiangazia mfumo mzima wa chama cha mapinduzi na serikali yake ndipo utapata majibu.

Narudia kusema "EL si Mchafu hata kidogo" lakini katika yote Mfumo wa CCM ndio mchafu na ndio unaowafanya wachafuke hata wasio wachafu, yawezekana kabisa msielewe dhana yangu lakini pia mkanielewa dhana yangu.

Mimi kama mwanachama wa chadema sipo tayari kuendelea kuitwa mpinzani lakini nipo tayari kuona nchi hii ikiwa upinzani kwa masilahi mapana ya watz wote.

Nitaeleza kwa kina nikitulia sehemu yenye upepo mwanana

Kwa mara ya kwanza naomba nipishane na wewekidogo.

Maswali yako yako valid yote. Kutokuchukuliwa hatua kwa fisadi Lowasa na mafisadi wa EPA, Escrow na wengine, ni kwa sababu ya ushetani wa ccm na mifumo yake ambayo kwa mantiki hiyo, imeua taifa.

Lowasa kama wanaccm wengine si msafi hata kidogo. Ni sawa na mafirauni wengine waliotuibia na kisha kula yamini ya kuficha ukweli na kuendelea kulindana na kutuhadaa Watanzania. Hii ndiyo inayoonekana kwa JK kumnadi tena 2010 huku wakiendeleza uaharamia hadi kwenye bunge la katiba, escrow n.k.

Kinachoweza kueleweka kwa watu wenye akili siyo propaganda za kusema EL ni mtu safi sana wakati ananuka Rushwa, Wizi na Ufisadi. Na hadi sasa hajawahi kuzungumzia kwa uwazi na ukweli suala la wizi wa Richmond, na wala hajawahi kujibainisha kinyume na mitazamo ya ufisadi dhuruma na maonevu yanayofanywa na ccm dhidi ya wananchi. Anachosema yeye ni kuwakomboa watanzania, kuondoa umaskini ambao ameshindwa kuuondoa Monduli bila kugusa rushwa, ufisadi, udanganyifu, uvnjaji wa haki za binadamu na udharimu wanaofanyiwa Watanzanai ndani ya nchi yao na ccm ambavyo ndivyo visima na chemichemi za machozi na vilio vya watanzania.

Usafi wa Lowasa hauji kwa sababu ya ccm kutokumchuklia hatua. Hii inamaanisha mafirauni wote wa ccm ambao hawajachukuliana hatua ni wasafi na kupoteza maana ya vita yetu dhidi ya ccm.

Ilo lowasa awe msafi, kama vile tunategemea Watanzania mafirauni wote kubadilika na kuwa wasafi katika uongozi wa lowasa, wanahitajika kuwa wakweli na Tanzania na si ulaghai lazimishi.

Tunahitaji warudishe mali zetu walizohujumu, waweke wazi mitandao yao ya uchafu na wizi kama richmond kwa Lowasa ili tuichambue na kuifumua kama vile kuchoma uchawi wanasemaga, na kukata kata mirija yake yote ili tuwe na mfumo safi mpya usiofungamana na ufirauni huu.

Mimi ninaimani katika ujenzi wa taifa wa pamoja lakini upamoja usiwe kudanganyana na kuficha maovu. Maovu yawekwe wazi na yatafutiwe tiba sahihi ya pamoja na kwa pamoja tujenge kinga ya kulilinda taifa dhidi ya umumiani ule, huku tukishirikisha taifa zima katika ujenzi wa taifa jipya.

Kwa ufupi, ninaunga mkono ukaribisho wa Lowasa Chadema, ikiwa ni pamoja na watanzania wote wachafu na wasafi ili tuwe pamoja katika ujenzi wa taifa. Lakini ninaktaa propaganda za kusema Lowasa ni msafi bila kutuonyesha wala kutuambia amejisafishaje dhidi ya mali alizotuibia za richmond, rushwa, na mtizamo wake dhidi ya udanganyifu, ughushaji, na uvunjaji wa haki za watanzania ambako ameshiriki kwa 100 akiwa kiongozi ndani ya ccm na serikali yake.

HUKO KUTAKUWA KUENDELEA KUTUHADAAA WATANZANIA KITU AMBACHO KITADHOOFISHA IMANI YA WATANZANIA KWA CHADEMA UKIZINGATIA KUNA WATU MASHUJAA KAMA MWANGOSI, WAHANGA WA SOWETO, DR. MVUNGI N.K N.K , WAMEMWAGA DAMU ZAO WAKIPIGANIA UKOMBOZI WA TAIFA, DHIDI YA UFIRAUNI WA CCM AMBAYO SASA KWA MTAZAMO WAKO HUU NI KAMA UNAANZA KUUBARIKI.
 
Kwa mara ya kwanza naona mtu akitakata kwa kuhama nyumba badala ya kuoga kwa maji na sabuni
 
Hivi lile jina la mamvi mbona limepotea sana humu jf? Mamvi aka fisadi papa aka ukoo wa mamba leo anaitwa mheshimiwa?
Sasa zile mbumba za akina chenge aka joka lenye makengeza nao ni waheshimiwa..
Wonders never end on this earth
 
Kwa mara ya kwanza naomba nipishane na wewekidogo.

Maswali yako yako valid yote. Kutokuchukuliwa hatua kwa fisadi Lowasa na mafisadi wa EPA, Escrow na wengine, ni kwa sababu ya ushetani wa ccm na mifumo yake ambayo kwa mantiki hiyo, imeua taifa.

Lowasa kama wanaccm wengine si msafi hata kidogo. Ni sawa na mafirauni wengine waliotuibia na kisha kula yamini ya kuficha ukweli na kuendelea kulindana na kutuhadaa Watanzania. Hii ndiyo inayoonekana kwa JK kumnadi tena 2010 huku wakiendeleza uaharamia hadi kwenye bunge la katiba, escrow n.k.

Kinachoweza kueleweka kwa watu wenye akili siyo propaganda za kusema EL ni mtu safi sana wakati ananuka Rushwa, Wizi na Ufisadi. Na hadi sasa hajawahi kuzungumzia kwa uwazi na ukweli suala la wizi wa Richmond, na wala hajawahi kujibainisha kinyume na mitazamo ya ufisadi dhuruma na maonevu yanayofanywa na ccm dhidi ya wananchi. Anachosema yeye ni kuwakomboa watanzania, kuondoa umaskini ambao ameshindwa kuuondoa Monduli bila kugusa rushwa, ufisadi, udanganyifu, uvnjaji wa haki za binadamu na udharimu wanaofanyiwa Watanzanai ndani ya nchi yao na ccm ambavyo ndivyo visima na chemichemi za machozi na vilio vya watanzania.

Usafi wa Lowasa hauji kwa sababu ya ccm kutokumchuklia hatua. Hii inamaanisha mafirauni wote wa ccm ambao hawajachukuliana hatua ni wasafi na kupoteza maana ya vita yetu dhidi ya ccm.

Ilo lowasa awe msafi, kama vile tunategemea Watanzania mafirauni wote kubadilika na kuwa wasafi katika uongozi wa lowasa, wanahitajika kuwa wakweli na Tanzania na si ulaghai lazimishi.

Tunahitaji warudishe mali zetu walizohujumu, waweke wazi mitandao yao ya uchafu na wizi kama richmond kwa Lowasa ili tuichambue na kuifumua kama vile kuchoma uchawi wanasemaga, na kukata kata mirija yake yote ili tuwe na mfumo safi mpya usiofungamana na ufirauni huu.

Mimi ninaimani katika ujenzi wa taifa wa pamoja lakini upamoja usiwe kudanganyana na kuficha maovu. Maovu yawekwe wazi na yatafutiwe tiba sahihi ya pamoja na kwa pamoja tujenge kinga ya kulilinda taifa dhidi ya umumiani ule, huku tukishirikisha taifa zima katika ujenzi wa taifa jipya.

Kwa ufupi, ninaunga mkono ukaribisho wa Lowasa Chadema, ikiwa ni pamoja na watanzania wote wachafu na wasafi ili tuwe pamoja katika ujenzi wa taifa. Lakini ninaktaa propaganda za kusema Lowasa ni msafi bila kutuonyesha wala kutuambia amejisafishaje dhidi ya mali alizotuibia za richmond, rushwa, na mtizamo wake dhidi ya udanganyifu, ughushaji, na uvunjaji wa haki za watanzania ambako ameshiriki kwa 100 akiwa kiongozi ndani ya ccm na serikali yake.

HUKO KUTAKUWA KUENDELEA KUTUHADAAA WATANZANIA KITU AMBACHO KITADHOOFISHA IMANI YA WATANZANIA KWA CHADEMA UKIZINGATIA KUNA WATU MASHUJAA KAMA MWANGOSI, WAHANGA WA SOWETO, DR. MVUNGI N.K N.K , WAMEMWAGA DAMU ZAO WAKIPIGANIA UKOMBOZI WA TAIFA, DHIDI YA UFIRAUNI WA CCM AMBAYO SASA KWA MTAZAMO WAKO HUU NI KAMA UNAANZA KUUBARIKI.

Umesema vyema!
 
Umma wa Watanzania watawaukumu ccm kutuletea mafisadi wanao tupu chadema
 
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.

- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa?

- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela.

- Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye .

- Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye.

- Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika.

- Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda.

- EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua.

- NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na Dr. Rashid walihusika.

- Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika.

- Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua.

- Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta, Samia suluhu wanahusika.

-Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika.

- TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu.

- Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika.

- Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika.

- Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe.

- Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika.

- Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete, Muhongo, Maswi, Albert Marwa wanahusika.

- Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika.
NIENDELEE AU?
 
Halafu sikuhizi namwona Lowassa yupo strong vile hahaha... Kumbe ukiwa ccm stress inasumbua...

Ngoja nimsikilize leo atasema nini nimwite Jembe!
 
Watu wengi wataishangaa kauli yangu, watakaa midomo wazi na kujiuliza maswali kibao moja ya maswali watakayojiuliza ni kama yafuatayo.

Anasema EL ni msafi wakati alithubutu kumuita Fisadi?

Usafi wake uko wapi au kwa kuwa kahamia Chadema?

Huyu anayesema haya ni mamluki au Chadema kweli?

Hayo ni baadhi tu ya maswali japo najua kuna maswali mengine mengi zaidi juu ya mh EL.

Wanapoendelea kujiuliza ni vyema na mm niwaulize maswali kadhaa kama ifuatavyo?

Kama EL ni mwizi au fisadi ni kwanini hadi leo hajakamatwa na kupelekwa Mahakamani?

Je hajakamatwa kwakuwa serikali ni dhaifu au haijui sheria inazosimamia yenyewe au iliogopa kuumbuliwa zaidi?

Toka 2008 hadi leo nini kimefanyika baada ya EL kwa kulinda heshima yake na kuamua kujiweka pembeni?

Tunadhani ni kwanini jina lake liliishia njiani? papo hapo jiulize kwanini Rizone alitweete akionesha hayupo tayari kuona Rais akitokea kaskazini kipindi cha Uhai wake?

Je ni kwanini Rais JK hajawahi kuthubutu kumsema EL hadharani?

Je ni kwanini Upinzani walimpiga sana mitandaoni na hata majukwaani lakini leo wapo meza moja?

Ni kwanini CCM walimuamini tena 2010 akapeperusha Bendera yao jimbo la Monduli? utamuaminije Mwizi?

Je ni nchi gani upinzani ilishawahi kuing'oa serikali bila kutumia watu waliokuwepo au waliopo Madarakani?

Je tunapenda kuendelea kuwa masikin kwa mfumo uliopo?

Bado nina maswali ambayo sitayamaliza sasa hivi ila endelea na ww kujihoji na kujipa majibu huku ukiangazia mfumo mzima wa chama cha mapinduzi na serikali yake ndipo utapata majibu.

Narudia kusema "EL si Mchafu hata kidogo" lakini katika yote Mfumo wa CCM ndio mchafu na ndio unaowafanya wachafuke hata wasio wachafu, yawezekana kabisa msielewe dhana yangu lakini pia mkanielewa dhana yangu.

Mimi kama mwanachama wa chadema sipo tayari kuendelea kuitwa mpinzani lakini nipo tayari kuona nchi hii ikiwa upinzani kwa masilahi mapana ya watz wote.

Nitaeleza kwa kina nikitulia sehemu yenye upepo mwanana

Saafi sana mkuu mfumo baya ni tatizo,ila hata el angetueleza ni mfumo gan mpya atautumia ili kutuondoa ktk kiza hik walichotuweka ccm,tofaut na hapo tukubali mvinyo ni uleule tofauti ni chupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom