Ni mwezi mmoja umetimia tangu chuo kikuu cha Udom kifunguliwe na wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza college of informatics and virtual education pamoja na Natural science hawajapewa hela za matumizi, WIZI huu mkubwa unafanywa na WAKUU WA COLLEGE, MAOFISA MIKOPO, NA MAKARANI WA HAPO CHUONI, chuoni wanawake wanashinda mjini wakijiuza, pia mlo unaliwa mara moja tuu kwa siku.Taarifa nilizozipata ni kwamba FEDHA ZA WANUFUNZI HAO ZIMEWEKWA KWENYE FIXED ACCOUNT ILI KUWANUFAISHA MAFISADI HAPO CHUONI.Kifupi hali inatisha sana hapa udom.