Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,266
UFISADI TRAINING COLLEGE; Inakutangazia kozi zifuatazo; 1. Wizi wa kura. 2.Utumiaji wa vyeti feki. 3.Kulipa mishahara hewa. 4. Kuanzisha Makampuni hewa.
5. Kuiba misaada ya waathirika. Chuo kitakupeleka Field EPA, BOT,TRA,TPA na badaae utaajiriwa RICHMOND au DOWANS. Chuo kimeshatoa wahitimu kama, LOWASA, KARAMAGI, MRAMBA,KIKWETE,ROSTAM na CHENGE.Fomu zinapatikana IKULU,BOT na OFISI ZOTE ZA CCM.wahi sasa nafasi ni chache.