CCM INAJIVUA LAWAMA ZA RUSHWA NA UFISADI NA KUWARUSHIA WATUMISHI WA UMMA

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,863
3,851
Kumekuwa na tabia na hulka ya CCM kupitia mtumbua Majipu kujivua lawama za rushwa na Ufisadi iliouasisi katika nchi, na kuwarushia watumishi wa umma. Rushwa na Ufisadi ni zao la CCM.

CCM haiwezi kujinasibu kuwa ni safi.

ESCROW
MELI CHAKAVU
KIWIRA
RICHMOND/DOWANS
MEREMETA
MISHAHARA HEWA
LUGUMI
EPA
RADA
MAKONTENA BANDARINI
KUUZA NYUMBA ZA SERIKALI
SAFARI SAFARI
CHAI CHAI
POSHO POSHO
MABEHEWA MABOVU
MAJENGO PACHA BOT
NA KILA AINA YA RUSHWA NA UFISADI NI ZAO LA CCM.

CCM kupitia mawaziri wake ilifanya ufisadi huu na kutetewa na wabunge walio wengi wa CCM.

CCM msikimbie kivuli chenu.

Pambaneni na Rushwa na Ufisadi ulioota mizizi ndani yenu.
 
Wakati umefika wa CCM kukiri kuwa Ubovu Sera Na mfumo wake ndio kulikopelekea nchi ikawa hivi Kwa mfano kuliua Azimio la Arusha ndiko kulikofungua milango Kwa Viongozi wetu kuanza kujilimbikizia Mali.
 
Serikali hii ni ya Magufuli, ccm historia, wakimpa uenyekiti anamaliza mkia kabisa
 
Kumekuwa na tabia na hulka ya CCM kupitia mtumbua Majipu kujivua lawama za rushwa na Ufisadi iliouasisi katika nchi, na kuwarushia watumishi wa umma. Rushwa na Ufisadi ni zao la CCM.

CCM haiwezi kujinasibu kuwa ni safi.

ESCROW
MELI CHAKAVU
KIWIRA
RICHMOND/DOWANS
MEREMETA
MISHAHARA HEWA
LUGUMI
EPA
RADA
MAKONTENA BANDARINI
KUUZA NYUMBA ZA SERIKALI
SAFARI SAFARI
CHAI CHAI
POSHO POSHO
MABEHEWA MABOVU
MAJENGO PACHA BOT
NA KILA AINA YA RUSHWA NA UFISADI NI ZAO LA CCM.

CCM kupitia mawaziri wake ilifanya ufisadi huu na kutetewa na wabunge walio wengi wa CCM.

CCM msikimbie kivuli chenu.

Pambaneni na Rushwa na Ufisadi ulioota mizizi ndani yenu.
Umesahau mengine kama SPM,WAZEE WA EAC
 
Back
Top Bottom