Ufisadi CHADEMA: Mamilioni yachotwa kulipia "website" hewa!

Ufisadi CHADEMA: Mamilioni yachotwa kulipia "website" hewa!

Tatizo lako huwa unakuja na habari ukiuumbuliwa huleti ushahidi na unaondoka jamvini kimyakimya wanabaki wenzako wanajibu na kuuliza mwenyewe

alete ushahidi gani wakati kashaongea habari kamili wananchi hatudanganyiki ccm oyeeeeee website tu ile hela kiasi hicho kwa nini asiende hata kutoa misaada mahospitalini
 
Chadema ni wahuni wakubwa! Wezi wa ruzuku
 
Ina maana wewe unalala ukichungulia kila kona uone CDM wanafanya nini??
Mbona huletagi nyuzi za pembe za Tembo za kina Waziri ofisi ya Raisi Hawa Ghasia na dereva wake!!!
Hivi hiyo kesi imeishia wapi???
Tena kuna vijana walinyongwa China hivi karibuni walileta barua kuwa walitumwa na Riziwani kupeleka madawa huko China na Honkong!! Wengine bado wapo magerezani, Mabarozi wa Asia wana habari!!
Hao hamuwaonei huruma ni punda zenu tuu, wacha wafe, hayo huyaoni wewe mtu wa ajabu kweli kweli!!


Kwani umezuiliwa kuleta uzi hapa JF?!!! Wewe lete hizo nyuzi zako za madawa ya kulevya, ila usichagulie wengine mada za kuleta au kujadili.
 
Kijana huwezi kuleta mipasho yako hapa ya kipuuzi bila kuweka uthibitisho wa hii mipasho yako. Sioni cha kujibu hapa coz huna hoja ya msingi kabisa umekaa kigamba gamba wewe, name shughuli za magamba ni mipasho.
 
Ile ID ya Tuntemeke imekosa hadhi sikuizi kueneza upumbavu kama huu?
Kweli kufukuzwa kwa Juliana, Mtela na Mchange kumeathiri mifumo ya habari za wapumbavu.
Kama huyu mrembo siyo mnafiki angetaja website iliyofungwa ni ipi.
 
Mi naona ni yaleyale tu maccm na machadema lao moja kugombania madaraka ili wale
 
Chadema ni kama pale jamaica camp.je ulijisikiaje siku ya kwanza ulipojaribu kuvuta bangi. Pale ni wizi tupu kamera za nbc kinondoni zinatuonesha jinsi gani chadema wanavyotafuna kodi zetu watanzania.
 
HUYO HAMDY ANATATIZO GANI NA DR SLAA?ANAADIMIKA AKIJA ANAKUJA NA ISHU YA DR SLAA ZAKUPIKWA..Hv huyo c bure anabifu naye
 
Halafu mtaalam wa mitandao ya chadema ni Josefina, hapo sasa!

Hivi yule mtaalamu wa WAVUTI YA MAGOGONI aliyepigiwa debe na Mkuu mwenyewe mwaka 2006 kama sijakosea anaitwa nani vile bibie!
 
Tuchukulie tupo kwenye ndoto na chadema ndio wanatawala halafu mtaalam wa mitandao wa chadema Josefina ndio anapewa waziri wa teknolijia na sayansi. Kimbembe!
 
jme,
Source ni Hamy-D! You are wasting your time! Ili awe credible for once aweke japo voucher mmoja tu, au no ya Cheque. Inaelekea hajawahi kufanya utawala hata kidogo! Ni ofisi gani fedha zinatolewa Kama Karanga? Watahangaika mpaka watachoka.



UOTE=jme;9163650]Tatizo lako huwa unakuja na habari ukiuumbuliwa huleti ushahidi na unaondoka jamvini kimyakimya wanabaki wenzako wanajibu na kuuliza mwenyewe[/QUOTE]
 
Wewe endelea kuandika habari za wachawi na ushirikina ndizo zinazokufaa!
 
WanaJF,

Ufisadi mkubwa umebainika kufanywa na viongozi wa CHADEMA na kupelekea upotevu wa mamilioni ya pesa za chama ambazo kimsingi ni kodi za wananchi.

Ufisadi huo unahusisha website/tovuti ya chama ambayo inalipiwa kila mwezi kiasi cha Tshs. 4 millioni kwa ajili ya uendeshaji na takribani Tshs. 15 millioni kwa ajili ya ukarabati wa tovuti hiyo hali ya kuwa HAKUNA kitu kinachoitwa tovuti ya CHADEMA.

Ukweli wa mambo ni kwamba vigogo wa CHADEMA walifunga tovuti hiyo miaka karibu 7 iliyopita na kulaghai wanachama wake kuwa tovuti hiyo inahitaji matengenezo makubwa hivyo haitakuwa hewani.

Jambo la kushangaza ni pale ambapo pesa za kutosha zinatumika kulipa uendeshaji wa tovuti pamoja na matengenezo yasiyoisha na kufanya chama kipoteze kiasi takribani cha Tshs. 20 millioni.

Aidha, pamoja na kwamba juhudi kubwa zilitumika kumtafuta Dr Slaa kama mtendaji mkuu wa chama ili atolee suala hili ufafanuzi, simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na hata pale alipotumiwa ujumbe mfupi (SMS) hakujisumbua kujibu.

Kimya hicho cha Dr Slaa kimezidi kuaminisha kuwa yeye ndiye muhusika mkubwa wa ufisadi huo. Dr Slaa, uzalendo wako upo wapi!?

Acha kudangaya umma wewe gamba
 
Majumba mengine yanaenda kununuliwa ulaya....team mbowe
 
Inatakiwa viongozi waje hapa watolee ufafanunuzi hili swala in zito sana!!!!

Buku 7 kwa kuwa ni low thinker basi hata uzushi juu ya CHADEMA huona ishu nzito!uzito upi hapo?kama mleta mada ameshindwa kuleta hata mkataba,
 
jme,
Source ni Hamy-D! You are wasting your time! Ili awe credible for once aweke japo voucher mmoja tu, au no ya Cheque. Inaelekea hajawahi kufanya utawala hata kidogo! Ni ofisi gani fedha zinatolewa Kama Karanga? Watahangaika mpaka watachoka.



UOTE=jme;9163650]Tatizo lako huwa unakuja na habari ukiuumbuliwa huleti ushahidi na unaondoka jamvini kimyakimya wanabaki wenzako wanajibu na kuuliza mwenyewe
[/QUOTE]
Mzee, josephine wako atakuharibia kazi. Wee jipofushe tu
 
jme,
Source ni Hamy-D! You are wasting your time! Ili awe credible for once aweke japo voucher mmoja tu, au no ya Cheque. Inaelekea hajawahi kufanya utawala hata kidogo! Ni ofisi gani fedha zinatolewa Kama Karanga? Watahangaika mpaka watachoka.



UOTE=jme;9163650]Tatizo lako huwa unakuja na habari ukiuumbuliwa huleti ushahidi na unaondoka jamvini kimyakimya wanabaki wenzako wanajibu na kuuliza mwenyewe
[/QUOTE]

Dr achana na hawa watoto njaa,wanadhani wanaweza poteza focus ya UKAWA kwa thread za kitoto kama hizi,piga kazi baba hawa tuachie sisi
 
Back
Top Bottom