Ufisadi CHADEMA: Mamilioni yachotwa kulipia "website" hewa!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
WanaJF,

Ufisadi mkubwa umebainika kufanywa na viongozi wa CHADEMA na kupelekea upotevu wa mamilioni ya pesa za chama ambazo kimsingi ni kodi za wananchi.

Ufisadi huo unahusisha website/tovuti ya chama ambayo inalipiwa kila mwezi kiasi cha Tshs. 4 millioni kwa ajili ya uendeshaji na takribani Tshs. 15 millioni kwa ajili ya ukarabati wa tovuti hiyo hali ya kuwa HAKUNA kitu kinachoitwa tovuti ya CHADEMA.

Ukweli wa mambo ni kwamba vigogo wa CHADEMA walifunga tovuti hiyo miaka karibu 7 iliyopita na kulaghai wanachama wake kuwa tovuti hiyo inahitaji matengenezo makubwa hivyo haitakuwa hewani.

Jambo la kushangaza ni pale ambapo pesa za kutosha zinatumika kulipa uendeshaji wa tovuti pamoja na matengenezo yasiyoisha na kufanya chama kipoteze kiasi takribani cha Tshs. 20 millioni.

Aidha, pamoja na kwamba juhudi kubwa zilitumika kumtafuta Dr Slaa kama mtendaji mkuu wa chama ili atolee suala hili ufafanuzi, simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na hata pale alipotumiwa ujumbe mfupi (SMS) hakujisumbua kujibu.

Kimya hicho cha Dr Slaa kimezidi kuaminisha kuwa yeye ndiye muhusika mkubwa wa ufisadi huo. Dr Slaa, uzalendo wako upo wapi!?
 
source ya habari mkuu usilete porojo za kupaka watu matope ili kuwatoa kwenye inshu ya katiba .tanganyika kwanza mambo mengine baadae
 
Source ni yeye mwenyewe. Waulize sasa watendaji wa chadema.
 
Tatizo lako huwa unakuja na habari ukiuumbuliwa huleti ushahidi na unaondoka jamvini kimyakimya wanabaki wenzako wanajibu na kuuliza mwenyewe
 
Halafu mtaalam wa mitandao ya chadema ni Josefina, hapo sasa!

Mara nyingi huwa nakwambia jaribu kujikita kwenye hoja nini mipasho haisaidi!! sasa nadikiri kusema " only universe and stupidity are infinite "
 
Mkuu peleka ushahidi TAKUKURU CHADEMA wapelekwe mahakamani.
 
Mkuu hela hizi zimetoka bila Vocha,cheque,t.t au dokezo lolote.tuletee lolote kati ya hivyo,ukishindwa basi hata bank statement tu.Mods pigeni chini mpaka alete ushahidi
 
source ya habari mkuu usilete porojo za kupaka watu matope ili kuwatoa kwenye inshu ya katiba .tanganyika kwanza mambo mengine baadae

Masuala ya Tanganyika kayafuate jukwaa la katiba MPYA.
 
na bado yanataka serikari tatu yani chadema hawakusoma hivi moja kujumlisha moja utapata tatu kweli nasikiaga mshahara wa viongozi ni milioni kumi bora tubaki na ccm yetu kuliko kukabidhi nchi kwa watu mafisadi hata hesabu hawajui kidumu chama cha mapinduzi kwaaaaaaaaaa kwaaaaaaaaaa kwaaaaaaaaa kwaaaaaaaaa kwaaaaaaaaaa
 
Na hawataki kukaguliwa kwa hesabu zao, wajinga ndio waliwao, wanachangishwa kwenye mikutano!
 
WanaJF,

Ufisadi mkubwa umebainika kufanywa na viongozi wa CHADEMA na kupelekea upotevu wa mamilioni ya pesa za chama ambazo kimsingi ni kodi za wananchi.

Ufisadi huo unahusisha website/tovuti ya chama ambayo inalipiwa kila mwezi kiasi cha Tshs. 4 millioni kwa ajili ya uendeshaji na takribani Tshs. 15 millioni kwa ajili ya ukarabati wa tovuti hiyo hali ya kuwa HAKUNA kitu kinachoitwa tovuti ya CHADEMA.

Ukweli wa mambo ni kwamba vigogo wa CHADEMA walifunga tovuti hiyo miaka karibu 7 iliyopita na kulaghai wanachama wake kuwa tovuti hiyo inahitaji matengenezo makubwa hivyo haitakuwa hewani.

Jambo la kushangaza ni pale ambapo pesa za kutosha zinatumika kulipa uendeshaji wa tovuti pamoja na matengenezo yasiyoisha na kufanya chama kipoteze kiasi takribani cha Tshs. 20 millioni.

Aidha, pamoja na kwamba juhudi kubwa zilitumika kumtafuta Dr Slaa kama mtendaji mkuu wa chama ili atolee suala hili ufafanuzi, simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na hata pale alipotumiwa ujumbe mfupi (SMS) hakujisumbua kujibu.

Kimya hicho cha Dr Slaa kimezidi kuaminisha kuwa yeye ndiye muhusika mkubwa wa ufisadi huo. Dr Slaa, uzalendo wako upo wapi!?

Ina maana wewe unalala ukichungulia kila kona uone CDM wanafanya nini??
Mbona huletagi nyuzi za pembe za Tembo za kina Waziri ofisi ya Raisi Hawa Ghasia na dereva wake!!!
Hivi hiyo kesi imeishia wapi???
Tena kuna vijana walinyongwa China hivi karibuni walileta barua kuwa walitumwa na Riziwani kupeleka madawa huko China na Honkong!! Wengine bado wapo magerezani, Mabarozi wa Asia wana habari!!
Hao hamuwaonei huruma ni punda zenu tuu, wacha wafe, hayo huyaoni wewe mtu wa ajabu kweli kweli!!

Mkuu hela hizi zimetoka bila Vocha,cheque,t.t au dokezo lolote.tuletee lolote kati ya hivyo,ukishindwa basi hata bank statement tu.Mods pigeni chini mpaka alete ushahidi
Inatakiwa viongozi waje hapa watolee ufafanunuzi hili swala in zito sana!!!!
 
WanaJF,

Ufisadi mkubwa umebainika kufanywa na viongozi wa CHADEMA na kupelekea upotevu wa mamilioni ya pesa za chama ambazo kimsingi ni kodi za wananchi.

Ufisadi huo unahusisha website/tovuti ya chama ambayo inalipiwa kila mwezi kiasi cha Tshs. 4 millioni kwa ajili ya uendeshaji na takribani Tshs. 15 millioni kwa ajili ya ukarabati wa tovuti hiyo hali ya kuwa HAKUNA kitu kinachoitwa tovuti ya CHADEMA.

Ukweli wa mambo ni kwamba vigogo wa CHADEMA walifunga tovuti hiyo miaka karibu 7 iliyopita na kulaghai wanachama wake kuwa tovuti hiyo inahitaji matengenezo makubwa hivyo haitakuwa hewani.

Jambo la kushangaza ni pale ambapo pesa za kutosha zinatumika kulipa uendeshaji wa tovuti pamoja na matengenezo yasiyoisha na kufanya chama kipoteze kiasi takribani cha Tshs. 20 millioni.

Aidha, pamoja na kwamba juhudi kubwa zilitumika kumtafuta Dr Slaa kama mtendaji mkuu wa chama ili atolee suala hili ufafanuzi, simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na hata pale alipotumiwa ujumbe mfupi (SMS) hakujisumbua kujibu.

Kimya hicho cha Dr Slaa kimezidi kuaminisha kuwa yeye ndiye muhusika mkubwa wa ufisadi huo. Dr Slaa, uzalendo wako upo wapi!?

hammy D sikiliza 93.7 efm utaelewa
 
Back
Top Bottom