Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.

CHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.

"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
 
hapo umenena mkuu
 
Kqwa hiyo mlitaka asifanye kazi ili mpate pa kuegemea.Mmeliwa.Fungeni ofisi,"hapa kazi tu."
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
 
Tatizo CHAGA-DEMA
Hawa shauriki
Hawa kosolewi
Niupumbavu upumbavu
Hawana lingine kabissa

Juzi DJ kaji tutumua
Katoa rist ya mafisadi yake
Watanzania wakampotezea
Kiukweli wanajutia kununuliwa na Fisadi
Alefilisika hoja utamjua tu kwa lugha ya ukabila, ukaburu. Wahi kabla dirisha la ulua halijaclose.
 
Ni kweli kabisa mikakati haipangiki ndiyomaana mwenyekiti wa CCM Taifa bwana Kikwete kutwa nzima yuko getini pale Ikulu anamvizia Pombe ampe msaada.
 
CHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.

"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Maneno yako ni ya ukweli kabisa, kosa lenu la kumbeba mfalme wa mafisadi, ndilo lilosababisha Magufuli achaguliwe, na Chadema ikose umaarufu kwa kujipaka marashi ya kifisadi.
 
K
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Profesa Maji marefu ataweza kukusaidia ili ndoto hizi ziwe zinakujia usiku. Sasa mchana huu zinakutesa. Ukiishapokea ulua, wahi kwa mtaalamu huyo
 
Tulisema magufuli atauwa upinzani.
Upinzani umekufaje? Kwa maneno yenu mnataka kutuambia kwamba hata kwenye Serikali ya Magufuli kuna Ufisadi ila kwa kuwa CHADEMA wako kimya, basi huo ufisadi uliomo kwenye serikali ya Magufuli hausemwi. Au?
 
Maneno yako ni ya ukweli kabisa, kosa lenu la kumbeba mfalme wa mafisadi, ndilo lilosababisha Magufuli achaguliwe, na Chadema ikose umaarufu kwa kujipaka marashi ya kifisadi.

HIYO NDIO SIASA, SIO TANZABNIA TU ALL OVER THE WORLD. UMESEMA KOSA LETU, SIJUI MIMI NA NANI, MIMI SI MTU WA KUSHABIKIA PASIPO SABABU NA SI MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE KILE HAPA DUNIANI, NI MSOMI NA NINAJITAMBUA. NDIO MAANA NIKAISIFIA CHADEMA KWA PRESSURE NA HATA LABDA HUYU FISADI, AMBAYE HATA MIMI NAAMINI NI FISADI KWANZA KWA KUTOKEA CCM TU, CHAMA AMBACHO KWA HAKIKA KILA MTU NI FISADI NA WAMETUFIKISHA HAPA TULIPO (PAMOJA NA YEYE RAIS MWENEYEWE). LAKINI HAPA HOJA SI HIYO, MAANA PAMOJA NA HAYO, BADO NAMWONA RAIS MAGUFULI NI BORA KULIKO HATA LOWASA ANGESHINDA. SUALA LA UFISADI WANAZIDIANA NA NAMWOMBA SANA MAGUFULI AFUTE KABISA UFISADI, AKAZE UZI NA KUBWA ASIPENDELEE ATUMBUWE KWELI HATA ALIYE MKUBWA VIPI, NDANI YA CCM NA SERIKALI YAKE AU NJE. UNAPO OKOKA HUANGALII MADHAMBI ULIYO YAFANYA, UKITUBU, UNASAMEHEWA NA KAZALIWA UPYA. WALE WALIO KUWA MAFISADI PAPA NI BORA WATUBU, WAREJESHE WALICHO WANYANGANYA WATANZANIA, WASAMEHEWE, NJE YA HAPO HATA MIMI NIKIWA RAIS NITAWATUMBUA TU HATA KAMA NI VIZAZI 10 VIMEPITA KAA UKIJUA.
 
Tatizo CHAGA-DEMA
Hawa shauriki
Hawa kosolewi
Niupumbavu upumbavu
Hawana lingine kabissa

Juzi DJ kaji tutumua
Katoa rist ya mafisadi yake
Watanzania wakampotezea
Kiukweli wanajutia kununuliwa na Fisadi
==Risiti==ya malipo ya usafiri wa saratoga?
 
Ni kweli kabisa mikakati haipangiki ndiyomaana mwenyekiti wa CCM Taifa bwana Kikwete kutwa nzima yuko getini pale Ikulu anamvizia Pombe ampe msaada.
Mkuu nasikia mwenyekiti amedokezwa kuwa lile jipu la escrow na la UDA, yanakaulia hivyo juzi alienda kujisalimisha
 
Maneno yako ni ya ukweli kabisa, kosa lenu la kumbeba mfalme wa mafisadi, ndilo lilosababisha Magufuli achaguliwe, na Chadema ikose umaarufu kwa kujipaka marashi ya kifisadi.
Naona unaongea kinyume nyume,maana cdm ndi kila siku inazidi kuwa maarufu na kwa kudhibitisha hilo ebu pitia uhindi wao wa wabunge na madiwani,tangu cdm inaanzisha hadi sasa inazidi kupanda grafu hakuna mwka ilishuka bali ni kendelea kupnda kwa kuongeza idadi ya madiwani na wabunge
 
CCM mnechanganyikiwa malizeni kwanza kutumbuana mabusha ndiyo tuanze nasisi kuwainamisha...
 
CCM mjue mnaiogopa Chadema na ukawa mmezuia mikutano hata Zanzibar mnarudia bila kuruhusu mikutano...
 
mkuu mimi niko hapa makao makuu, hakuna mpango wowote unaoendelea, yani ni upweke na sintofahamu
Hayo Makao Makuu uliyopo wewe ni wapi? Labda ya Lumumba maana Hapa nilipo hakuna mtu kama wewe wala sampuli yako hapa tupo tunao jitambua tuu
 
CHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.

"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Hawajajua hawa chadema kikifa na ccm inakufa
 
Naona Ccm inaangaika kujua tunachokifanya subirini mdaa si Mrefu mtakiona. Asanteni

CHADEMAKWANZA
Teh Teh labda tusikie tarehe ya maandamo japo hayo ruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa....
 
Back
Top Bottom