super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,478
- 1,099
Kingunge kizee cha samunge kimepita hivi......
hata hueleweki...Sumaye na ukatibu Mkuu..hali tete...wanae mchawi analea mtoto wao..ccm sikamooo
Ha ha ha . Hebu amka usingzini. Chadema ndio iliyomfanya Magufuli afanye kazi kwa uadilifu miaka yote 20 akiwa wizara ya Ujenzi? Hebu ondoa Cheap popularity. Halina mjadala Mh. Magufuli ameingia Ikulu kwa Haiba na tabia yake yeye mwenyewe Period! eti Chadema whaat? Hebu acheni kudanganya uma mchana kweupe!
Labda nikupe hesabu ndoogo tu nikiwa mwalimu wa hesabu je hapa jibu ni ngapi?Kwel chadema ndiyo iliyomfanya awe dalali wa nyumba na kuingiza hasara ya serekali ya bilion 950
Wewe ndio nakuonea huruma kwani kama si itikadi ya kichama basi una itikadi ya kikanda pole sana! MAdaktari wanapotibu tunategemea almost 100% mgonjwa wetu kupona lakini hata hivyo kuna externa factors zinazoweza sababisha mgonjwa yule asipone. Tatizo ninyi wachumi ( kama mchumi) mnapenda kuangalia Upande wa cash tuuuuuuu. Sasa hebu chunguza tena kwa mfano kuhusu wale samaki ni mameli mangapi yameogopa kuingia naada ya kusikia meli ile ilikamatwa say meli 2. Sasa 2-1 ni sawasawa na ngapi? Mtu unaweza ukaloose 1 million TSH lakini ukamantain utu wako. Mfano mdogo tu Unaambiwa utapewa x USD endapo utaruhusu Ushoga then kama kiaongozi anakataa, of course tutaloose hizo pesa lakini Utu na utamaduni wetu utakuwa umelindwa hivyo Tafakari na chukua hatua!NAKUONEA HURUMA WEWE, KAMA NI SUALA LA UHAIBA HALIPO, RIPOTI YA ACCOUNTANT GENERAL KUHUSU WIZARA YAKE? KIVUKO KIBOVU (MV DAR ES SALAAM)? NYUMBA ZA SERIKALI? WENGINE HATUANGALII MAMBO KWA MTAZAMO WA KIITIKADI NA NIMESEMA WAZI PAMOJA NA YOTE HAYO BADO YEYE NI BORA ZAIDI KULIKO HATA LOWASA. LAKINI BILA PRESSURE YA UPINZANI HAYAMKINI CCM WASINGEMCHAGUA NA UWAZI WA CCM KUHAHA WAKATI WA MCHAKATO ULIONEKANA WAZI NA NDIO WAKAGUNDUA AFADHALI YA MAGUFULI. KAMA HII SI PRESSURE NI NINI, MAANA HAKUWAPO HATA KWENYE CIRCLE ZAO,
Wew
Wewe ndio nakuonea huruma kwani kama si itikadi ya kichama basi una itikadi ya kikanda pole sana! MAdaktari wanapotibu tunategemea almost 100% mgonjwa wetu kupona lakini hata hivyo kuna externa factors zinazoweza sababisha mgonjwa yule asipone. Tatizo ninyi wachumi ( kama mchumi) mnapenda kuangalia Upande wa cash tuuuuuuu. Sasa hebu chunguza tena kwa mfano kuhusu wale samaki ni mameli mangapi yameogopa kuingia naada ya kusikia meli ile ilikamatwa say meli 2. Sasa 2-1 ni sawasawa na ngapi? Mtu unaweza ukaloose 1 million TSH lakini ukamantain utu wako. Mfano mdogo tu Unaambiwa utapewa x USD endapo utaruhusu Ushoga then kama kiaongozi anakataa, of course tutaloose hizo pesa lakini Utu na utamaduni wetu utakuwa umelindwa hivyo Tafakari na chukua hatua!
Tatizo CHADEMA yako haina hilo lengo. Wameitumia UKAWA wamepata Ubinge kazi yao ni kutoka nje ya Bunge kila kukicha na POSHO bila aibu wanachukua. They have let us down!! Sio kazi tuliyowatuma. Sasa hivi viongozi hao wameenda kuipinga Sera Ya Cghama kilichoshinda kuleta tu misuguano isiyo na lazima. Kufungua kesi zisizo za msingi kupoteza tu resources za serekali kwa kuzidi kurundika kesi zisizo na mkia kwa kweli I am fed up with CHADEMa kwani tulitaka waonyeshe tofauti wawe kwa ajili ya watu na si kwa ajili yao lakini action yao tu Wametuanmguisha!KAMA NI UKANDA SAWA NATOKA KANDA YA ZIWA. WEWE UNA UBUSHI WA KIITIKADI TU. MANTIKI YANGU NI KUWA HAKUWA ALIYE MKAMILIFU NA HASA KWA MFUMO WA CCM NA HUSUSAN WA AWAMU YA 4. AIDHA, NILIAFIKI BILA KUJLI ITIKADI (KAMA NINGEKUWA CHADEMA/UKAWA), BADO MAGUFULI NI AFADHALI KULIKO LOWASA NA HAKIKA KAZI YAKE NI BORA KULIKO WATANGULIZI WAKE HADI SASA. HATA HIVYO KUNA MAMBO MAKUU 2 SIKUBALIANI KABISA NAYE. 1. ISSUE YA ZANZIBAR, AMEAPA KULINDA KATIBA NA KATIBA YA ZANZIBAR INAVUNJWA TUNAONA. SI LAZIMA SEIFU ASHINDE LAKINI TARATIBU SHERIA NA KANUNI ZIZINGATIWE. 2. UTUMBUAJI, PAMOJA NA KUWA NAKUBALIANA NA KUSPPORT UTUMBUAJI WA MAJIPU LAKINI LAZIMA AFIKE MAHALA AKAMUE KIINI/VIINI.
ALITUHAKIKISHIA HATA ANGALIA USO WA MTU NA NI WAZI KABISA MENGI AYAFANYAYO HAYAJATOKEA BAADA YA YEYE KUSHIKA MADARAKA BALI YALIKUWEPO SERIKALI ILIYOPITA. CHA KUSHANGAZA MAWAZIRI WOTE NI WEMA HAKUNA ALOVURUNGA, MAANA SIJAMSIKIA HATA MMOJA AKISHILILIWA KWA MAKOS HAYO. BILA KUMUNGUNYA MANENO RAIS MSTAAFU ANAHUSIKA NA OBOVU HUU NA LAZIMA IFIKE MAHALA AWE RESPONSIBLE KWA MATESO AMBAYO WATANZANIA WALISHA YAPATA. NA HIYO NI CCM SIO CHADEMA NA NDIO MAANA NILISEMA PRESSURE YA CHADEMA INAKIFANYA KIWE CHAMA CHA KUTOSAULIKA MAANA MIAKA KADHAA WAMEYAPIGIA KELELE HAYA CCM IKAZIBA PAMBA NA HAWAWEZI KUJIFANYA NDIO MABINGWA WA KUSIMAMIA HILI NI KWA KUPRESSURE NA ILISHA FIKA MAHALI AMA ILIKUWA ILIPUKE NA NDIO WAKAANGAZA NA KUMWONA MAGUFULI AMBAYE ANGALAU HAKUWA NA UBOVUKAMA WENGI WAO NDANI YA CCM.
Tatizo CHADEMA yako haina hilo lengo. Wameitumia UKAWA wamepata Ubinge kazi yao ni kutoka nje ya Bunge kila kukicha na POSHO bila aibu wanachukua. They have let us down!! Sio kazi tuliyowatuma. Sasa hivi viongozi hao wameenda kuipinga Sera Ya Cghama kilichoshinda kuleta tu misuguano isiyo na lazima. Kufungua kesi zisizo za msingi kupoteza tu resources za serekali kwa kuzidi kurundika kesi zisizo na mkia kwa kweli I am fed up with CHADEMa kwani tulitaka waonyeshe tofauti wawe kwa ajili ya watu na si kwa ajili yao lakini action yao tu Wametuanmguisha!
Mimi tatizo langi hawa Chama inzani ni kufanya vitu ambavyo hatujawatuma and mind you kuna wachangiaji humu ukianza tu kusema vitu anavyofabnya Mh. magufuli basi wanakulable kuwa wewe ni CCM na SIJUI KWA NINI HUKU WAKIJUA WANANCHAMA WA ccm NI MILIONI 5 TU KAMA SIKOSEI. Kwa upande wangu Rais nilichagua Mh. Magufulu, I salute him. Lakini Mbinge na Mh. Diwani Nilichagua Upinzani. Na watanzania weengi ndivyo walivyofanya kwa mategemeo makubwa kwao lakini madudu wanayofanya saa Agrrrr. nilipoteza kura zangu!I DON'T DISPUTE CHADEMA KUSHINDWA NA NI KWELI HAWAKUCHANGA KARATA ZAO VEMA, LAKINI CCM KAMA CHAMA TAWALA NDIO KIMESHINDWA ZAIDI NA NDIO CONCERN YANGU. KAMA CHADEMA WANGEINGIA MADARAKANI NA BAADA YA MUDA WAKAONYESHA UPUNGUFU MKUBWA KAMA WANAO UONYESHA CCM, AMINI KAMWE SITASHINDWA WASEMA TENA KWA HASIRA LABDA KULIKO CCM. LAKINI KWA SASA NINAANGALIA MCHANGO WAO KUFIKA HAPA TULIPO. TOFAUTI YANGU NA WEWE, WEWE NI MNAZI MIMI NI REALITY CHECKER.
Mimi tatizo langi hawa Chama inzani ni kufanya vitu ambavyo hatujawatuma and mind you kuna wachangiaji humu ukianza tu kusema vitu anavyofabnya Mh. magufuli basi wanakulable kuwa wewe ni CCM na SIJUI KWA NINI HUKU WAKIJUA WANANCHAMA WA ccm NI MILIONI 5 TU KAMA SIKOSEI. Kwa upande wangu Rais nilichagua Mh. Magufulu, I salute him. Lakini Mbinge na Mh. Diwani Nilichagua Upinzani. Na watanzania weengi ndivyo walivyofanya kwa mategemeo makubwa kwao lakini madudu wanayofanya saa Agrrrr. nilipoteza kura zangu!
Ni kweli hatufaimiani na ndio raha yake maana mtu unatoa ya moyoni! Hi vi kwa Tabia wanayoonyesha wapinzani wakipewa Umeya watauweza kweli. Kwani tabia zao ni: Umwamba usio na sababu, Fujo, Visingizio . Mh. Magufulki nakuamnia Vunja mambo haya ya madiwani maana wewe una uthubutu ni kupoteza Tax Payers money unnecessarily! Tunakumbuka mambo yalivyoenda wakati wa Keenja. Vunjilia mbali mambo ya madiwanisijui na mameya yanachelewesha maendeleo!HIVI MZEE SIKUFAHAMU WALA HUNIFAHAMU. LET US BE REALISTIC FOR THE SAKE OF OUR BEAUTIFUL NATION. KWA MFANO UCHAGUZI WA UMEYA JIJI LA DAR HADI SASA BADO, ISSUE YA ZANZIBAR NK. KWELI NI UPINZANI? KUMBUKA SERIKALI CHINI YA LOCAL GOVERNMENT INA UWEZO WA KUTOA DIRECTIVE, HILO LIISHE. NDIO MAANA WATU WANAFIKA MAHALI WANAONA KUNA MKONO WA CCM HATA KAMA SIVYO HASA SERIKALI INAPOKAA KIMYA KWA MAMBO YA WAZI NA TARATIBU INAZO PASWA IZIMAMIE ZIPO!!!
"CCM imeishiwa pumzi" ~Kingunge....Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
na wewe unapewa buku ngapi kwa kupinga thread za walipwaji??Juzi nilikua naongea nakiongozi , nilimfikishia yale malalamiko yetu ya kua 7000/= haitoshi angalau 12,000/= alichonijibu nilichoka!! Ila mwisho wa siku tukakubaliana kua anaetaka zaidi ya buku 7 basi awahi ofisini apost thread Moja then anakunywa chai ya ofisi., vijana Wengi walipinga nashangaa wewe kuamua kuunga mkono wazo la kiongozi.. Ujue tukigawanyika ktk hili tutaendelea kupewa 7000/= mpaka 2020 wakati wa kampeni Ndio wataona umuhimu wetu. Cha msingi Mkuu achana na hiyo chai Yao! Watatubuluza mpaka lini wakati wao wanapiga mkwanja mrefu???