Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Ni kweli hatufaimiani na ndio raha yake maana mtu unatoa ya moyoni! Hi vi kwa Tabia wanayoonyesha wapinzani wakipewa Umeya watauweza kweli. Kwani tabia zao ni: Umwamba usio na sababu, Fujo, Visingizio . Mh. Magufulki nakuamnia Vunja mambo haya ya madiwani maana wewe una uthubutu ni kupoteza Tax Payers money unnecessarily! Tunakumbuka mambo yalivyoenda wakati wa Keenja. Vunjilia mbali mambo ya madiwanisijui na mameya yanachelewesha maendeleo!

Suala sio kuweza au kutoweza bali demokrasia ya kweli ichukuwe mkondo wake. Wanaweza ahawawezi walichaguliwa na wananchi wa Dar. Hata Magufuli kachaguliwa pia kama wao. CCM mbona haijaweza tangu iwe madarakani lakini kwa kuwa ndio iliyochaguliwa inababaisha hivyo hivyo hadi siku tukipata chama kiwezacho ama wakiweza.
 
Of course Demokrasia ni muhimu sana. lakini pale unapokuwa na ukika 90% kuna kufail Utakumbatia tu democrasia?!?!?!?!?!? Sina hakika na Umri wako lakini kuna kipingi mambo sijui ya Halmashauri yalivunjiliwa mbali na mambo yakaenda. Et demnokrasia unaona kabiosa hapa kuna kufail unaikumbatia Big no!!!!! Kwa upande wangu si wa CHADEMA wala CCM wala ACT mambo ya madiwani yavyunjiliwe mbali nchi hii iende! Hamna maana yoyote zaidi ya kula posho za vikao huku wanafunzi wanakaa chini!
 
Mimi ni mtu mzima, nimezaliwa wakati Tanzania inakuwa Jamhuri, nimeshuhudia development nyingi za nchi hii. Nimekuwa umoja wa vijana wa Tanu, TANU YOUTH LEAGUE wakati huo, ni miongoni ya tuli faidika na sera za TANU na baadaye CCM, elimu bure, afya bure na hata nauli ya kutoka shule bure (warrant), na baadaye vyuoni hapa pesa ya kujikimu. Bahati nzuri pia ni msomi mzuri (professional), nimefanya kazi serikalini, actually na yeye Mh Rais mwenyewe na kusafiri naye mara kadha kwenye miradi na mikuno mengi tu, ila si mwanachama wa chama chochote kile.

Duniani nimetembea sana, barani Africa, Ulaya na hata Asia. Sikubaliani kabisa na mfumo wetu wa madiwani hasa kwa vijijini ambapo wengi si wasomi na wanafanya maamuzi kuwaongoza wasomi. Kuna wakati nilidhani utaratibu uwepo wa kupelekea kuwapo na qualifications za kuweza kuwa diwani. Kwa hilo upo sawa, lakini hatuwezi kuwa na system ya cherry picking. Kwamba pale CCM aliposhinda pamoja kuwa madiwani ni vilaza wakubwa waendelee na uchaguzi tu lakini alipo shinda mpinzani mizengwe. Haikubaliki kabisa, Tanzania ni yetu wote sio ya CCM pekee. Yaliyo tokea jana si kwa ak=jiliya madiwani wa UKAWA bali mkakati tu wa CCM na serikali yake inaangalia. Hapa hata wewe unajiweka upofu ama kwa makusudi ukiwa kada au mnazi. Kwa uwelewa wangu, madiwani wa Dar ni mara mia bora kuliko wa vijijini lakini kule Mameya walisha chaguliwa. Na kama nia ndio hiyo kusingizia mbona Keenja aliweza, siamini kama tutafika tunakaribisha maafa labda bila hata kutarajia.
 
Back
Top Bottom