Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Katika kiwango cha hovyo kiitwacho yes nan ndio aina ya waandishi HawA

Siasa no sayansi, Magufuli ameachwa ili kumpa mwanya kuonesha uwezo mdogo alionao wa kujua tatizo no nini. Aina ya watumishi au nfumo?

Na kama no mfumo je nikatiba au sera?

Ufipa wanachofanya hutakuja usahau Mnyika akiwa amepewa kazi maalum na Lowasa wala unababaika tu subiri Mzee chizi utaelewa chadema no nini
 
Kwahiyo unakii kuwa ulitimuliwa na zzk siyo?
Hajui anachokikataa na anachokikubali lakini kifupi no mmoja ya watu waliotimuliwa kipindi cha zitto akafie mbali asiwapotezee muda...
 
Hajui anachokikataa na anachokikubali lakini kifupi no mmoja ya watu waliotimuliwa kipindi cha zitto akafie mbali asiwapotezee muda...
Hahaha
VILAZA mnafurahisha
Ndio maana huwa mnaambiwa IKULU
Mtaisikia magezetini
Mnacho kiamini hamtaki kueleza sicho
Acheni kukalili na muamke
Sikila mkionacho ndicho

SIKUWAHI NA SITAWAHI
KUWA CHAGA-DEMA
Sasa kwa ukichaa wenu kazaneni
 
Ufipa hakuna nidhamu,kila mmoja boss. Mbowe ndiye owner wa chama,sauti yake ndo sheria ya ofisi. Dr Slaa tutamkumbuka kwa kujenga upinzani imara,CDM imara. Enzi za Dr Slaa,Mbowe na wenzake walikuwa wanakula shushu,mipangilio yote ni GS,hata nondo za kuongea kwenye vikao kama chairman anaandaliwa. Kuna tetesi vijana walimtayarishia hata makala za kuandika magazetini. Mbowe alionekana kichwa
 
Chama kinashikiliwa na watu wachache
Kweli hicho ni chama kweli
 
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Kuna Semika Elekezi inaendelea Morogoro unajua hilo?Unajua Mbowe na Mwalimu wako wapi?Fanya Tafiti kwanza mkuu
 
Kuna Semika Elekezi inaendelea Morogoro unajua hilo?Unajua Mbowe na Mwalimu wako wapi?Fanya Tafiti kwanza mkuu
Mkuu unaanza kuingia mkenge lengo lao nibkujua tunafanya nini? dawa ni kuwaacha wasichue mipango yetu...
 
Mikutano hisiyo na tija kamwe haitoruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa ..iwe pemba,Arusha ,mwanza...
Kwa hiyo mmeishafilisika hoja kiasi cha kushangilia viashiria vya kushindwa democracy. Jenga tabia ya kujisomea itakusaidia kujenga uwezo wa kupambanua maswala ya msingi ili kujenga democracy ya kweli ambayo hata wewe na vizazi vyako vitaaihitaji
 
CHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.

"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Ha ha ha . Hebu amka usingzini. Chadema ndio iliyomfanya Magufuli afanye kazi kwa uadilifu miaka yote 20 akiwa wizara ya Ujenzi? Hebu ondoa Cheap popularity. Halina mjadala Mh. Magufuli ameingia Ikulu kwa Haiba na tabia yake yeye mwenyewe Period! eti Chadema whaat? Hebu acheni kudanganya uma mchana kweupe!
 
Kwel chadema ndiyo iliyomfanya awe dalali wa nyumba na kuingiza hasara ya serekali ya bilion 950
 
Hivi kuna mtu huwa anahangaika na maiti? ikisha zikwa si mnaendelea na maisha mengine? Anaerudi makaburini kila mara anaonekana mchawi tu, sasa nyie kweli wachawi, si chadema imekufa? aeandeleeni na maisha baada ya kifo cha chadema basi? Hizo ajira 46 mtagawianaje kwa mfano au mataongeza wilaya na mikoa ili wote mpate? Mtahahangaika sana muulizeni wasira anajua chadema inavyokufa.
 
Sumaye na ukatibu Mkuu..hali tete...wanae mchawi analea mtoto wao..ccm sikamooo
 
Back
Top Bottom