Ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania ktk sheria utamruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) oxford, cambridge na havard?

dogo watu kibao wamesoma huko

je kwa scholarships au kwa kulipa ada??? na wataje hao kibao.... maana havard imeanzishwa mwaka 1636.. zaidi ya miaka 500 iliyopitaa...... ina wanafunzi na alumni zaidi ya malaki na malaki.. wataje watz wapo wangapiiii wamepata chance havard katik hiyo miaka 500... kwa mwaka wa tz wanaodahiliwa havard hawafiki hata 10... hapo kuanzia degree hadi phd... halafu unasema rahisi,,,, watazania hatupendi ukweli..
 
unataka wangapi waliosoma havard?
 
Unaandika kwa Senate ya Chuo. Chuo chochote cha serikali kwa GPA ya 2.7 ni ngumu kupata nafasi . Na hii ni kwa Masters yoyote sio sheria tu.
Mimi nina GPA YA 3.3 ya B.A.Ed , je naweza ku apply masters ya community development ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
jamani tuache kukatishana tamaa,alichesema jamaa kuhusu havard,yale et cetera ni kweli.
ila kuhusu GPA mimi nina ushahidi na nafahamu minimum GPA kusoma masters ni 2.7 afu kuhusu kupata masters chuo husika hapa tanzania na africa kwa ujumla ni kutokana na competition iliopo kwenye hiyo program mfano llm watu wanapata GPA NDOG KABISA NA WANAENDA SOUTH AFRICA AMBAO NDIO WANAONGOZA KWA ELIMU NZURI KUSOMA MASTERS NA WANAMALIZA mfano hata udsm,mzumbe ndio vyuo vyenye compition zaidi Tanzania lakina kuna program hadi mtu mwenye minimum entry babisa anapata tena wanatamani selikali washushe zaidi ili wapate wengine zaidi swala ni competition wadau kwenye program husika
my regards
 
Back
Top Bottom