Ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania ktk sheria utamruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) oxford, cambridge na havard?

OBO5

Member
Jan 31, 2013
54
35
Napenda kufahamu ni ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania katika tasnia ya sheria unaweza kumruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM)
katika vyuo bora vya sheria ulimwenguni kama oxford, Cambridge na havard.

Vyuo vyetu napenda nichukue rejeo la shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (zamani ikijulikana kama kitivo cha Sheria). Karibuni.
 
Kama ulkua na mpango wa kusoma harvad cjui cambridge cjui ocford ungeanza kufit tokea upo primary
 
Hiyo GPA hata vyuo vya TZ huwezi kudahiliwa LLM labda kwa special request.
 
Hiyo special request inatoka ikulu kwa magufuli.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app

Unaandika kwa Senate ya Chuo. Chuo chochote cha serikali kwa GPA ya 2.7 ni ngumu kupata nafasi . Na hii ni kwa Masters yoyote sio sheria tu.
 
hata upate gpa ya 5 udsm hupati scholarship ya havard...

kama ingekuwa rahisi kina martin chegere , spencer mzumbe sec, na magenius wote wa necta div 1 point 3 pcm na first class za udsm,,,,,,,,wangesoma masters au phd havard...

havard wanapenda watu wenye outstanding achievement kwenye real life... au utoke familia yenye jina kubwa mfano toyota... mfano hai mtu kama diamond platnumz akiomba havard akasome music degree hata kama hana cheti cha a level wanaweza mkubalia.. sabab ana achievement tayari kwenye mziki... au mtu kama millard ayo akaomba kusoma uandishi wa hbari havard wanamkubalia.. hata kikwete mwenyewe akiomba masters wanamkubalia bila kuangalia gpa zake...

vyuo bora duniani wanaviita ivy league ambapo ni havard, yale, penn, stanford, mit, princiton vyote hivyo vina penda watu wenye potential.. hata wamarekani walikuwa wanamponda trump wakati wa uchaguzi kwamba alipata chance ya kusoma penn enzi za ujana wake sababu ya surname yake ila sio kwa akili za darasani.... hivi unaanzaje kumkataa mtu anaitwa anna samsung, au anna toyota, au mwajuma scania... hizo surname ndio wanazitaka sababu ya heshima yao duniani

kama baba yako alikuwa kilaza jina lenu la ukoo sio maarufu kusoma havard ni bahati nasibu sana... mfano chenge ni mmojawapo ya waafrica wachache waliopata bahati tu
 
Mwajuma scania nlisoma nae praimali
 
wewe nawe unatunisha makalio mbele za watu unajiita msomi na pumba hiz!
 
Back
Top Bottom