Miwani ya dini inakufanya usione ukweli. France inashambulia maskani ya Isis Syria. Ni maeneo ambayo Ni adui hata kwa wana Syria wenyewe na ndio maana wanakimbia nchi yao ukiachilia mbali rebels wanaotaka mpindua Assad.
Hii sio vita ya dini Ni vita dhidi ya ugaidi usitake watetea is kisa tu ni waislam.
gaidi unamshambulia kwa ndege?,sawa na kuua nzi kwa kutumia mashine gun,Miwani ya dini inakufanya usione ukweli. France inashambulia maskani ya Isis Syria. Ni maeneo ambayo Ni adui hata kwa wana Syria wenyewe na ndio maana wanakimbia nchi yao ukiachilia mbali rebels wanaotaka mpindua Assad.
Hii sio vita ya dini Ni vita dhidi ya ugaidi usitake watetea is kisa tu ni waislam.
Wapigwe tu kwani magaidi wote ni waislam ila waislam wote si magaidi.mwislamu hafai kbs hapa duniani. ni wa kuogopwa kama ukoma
Kwa hili swali sahau kupata majibu murua. Jiulize kwanini nchi za Kiarabu pamoja na utajiri wote walionao. Sio kimbilio la wanyonge, sahau kupata majibukwa nini wasyria hawakimbilii saudi, qatar, iraq etc, badala yake wanakimbilia UFARANSA HUKOHUKO?
UFARANSA WANAUA WATU SYRIA DUNIA IMEKAA KIMYA!
Ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake, zinafanya mashambulizi ya maana nchini Syria, katika kile kinachodaiwa kulipiza kisasi kwa kundi la ISIS linalodaiwa kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea katika maeneo sita tofauti nchini Ufaransa.
Mashambulizi ya ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake ambayo hayana tofauti na yale yanayoitwa "mashambulizi ya kigaidi", yanagharimu maisha ya wasio na chembe ya hatia, tumeshuhudia watoto wadogo wakiuawa mithili ya dagaa, watu wazima, wanawake na makundi mengine yasiyo na hatia wanakatizwa maisha yao kama vile ni kunguni hawana thamani yeyote ya kuishi ulimwenguni!
Waswahili wanasema "vita haina macho", naam, maana kinachotokea nchini Syria katika vita ya Ufaransa na washirika wake dhini ISIS inagharimu maisha ya mamia ya wasiokuwa na hatia, najiuliza hivi viko wapi vyombo vya habari vya Kimataifa? Mbona kimya? Sijui hawauoni huu UGAIDI wanaofanyiwa wananchi wa Syria kwa mgongo wa ISIS?
Yako wapi matamko ya Jumuiya za Kimataifa? Umoja wa Mataifa wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachotokea! Wako wapi wamiliki wa mtandao wa 'facebook' wa kutushawishi kubadili 'profile pictures' zetu ili kuwaombea watu wa Syria?
Ufaransa na washirika wake wanafanya 'mijishambulizi' iliyovuka kiwango nchini Syria, dunia imekaa kimya! Yalipotokea Ufaransa dunia nzima ilihamia Paris, matamko ya kulaani yalitolewa kila pembe ya dunia, watu wakabadilisha 'profile' zao eti kuonesha kuguswa na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Paris, Ufaransa!
Inakadiriwa watu 159 walipoteza maisha katika mashambulizi ya Paris, lakini idadi ya wanaoendelea kufa nchini Syria kwa mashambulizi hayo hayo ya kigaidi yanayofanywa na 'wazungu' imevuka hiyo ya Ufaransa, dunia imekaa kimya! Wanataka kutuaminisha kuwa damu ya mzungu thamani yake ni kubwa mno ukilinganisha na damu ya wasiokuwa wazungu?
Mwenyezi Mungu ndiye pekee mwenye kusimamia haki!
Nawasilisha.
Ally Mohammed,
Zanzibar,
Tanzania,
Email : allymohammed01@gmail.com,
Simu ya mkononi : + 255 655 572 594,
Simu ya mezani : + 255 732 940 023.

well said, Isis imeshakuwa janga la kidunia, kama mtoa mada angekuwa kwenye viatu vya wafaransa angefanyaje? wakati ufaransa wanaenda Syria tayari ulishakuwepo umwagaji damu( sio kwamba umeletwa na wafaransa) naomba mtoa mada atusaidie kuwa hao Isis wanapochinja watu(waislamu wakiwemo) wanataka kuachieve nini