Ufaransa kupigwa Kama ngoma

Ufaransa kupigwa Kama ngoma

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90

Messi atamfunga na wengine watafunga

Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano

Na mwakani Messi atakuwa mchezaji Bora wa Dunia na huo ndio utakuwa mwisho wake 🙏🙏🙏

Na Messi ataandikwa Kama mchezaji Bora wa muda wote kuwai kutokea hapa Duniani Na kuwapiku Pele pamoja na Maradona🙏🙏
 
Umeandika kiushabiki sana mkuu hakuna fact hata moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom