Ufaransa huwapa kipaumbele watu weusi kuliko waarabu kwenye timu Taifa na mambo mengine hii sio sawa

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,386
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs Ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa Ufaransa na Real Madri, Benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo. Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya Ulaya ambayo ina wageni wengi waarabu kuliko nchi yoyote ya Ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini Ufaransa kama ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za Ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa Ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu Sisi bara la Afrika kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na Argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae Ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya Argentina

Asante
 
UFARANSA TUNAIPENDA USITUGAWANYE,

Thomas Valbuena,Frank Riberry,Karim Benzema

Kwa muda tofauti walipigwa pini, sasa hawa wote ni Waarabu....Tayari Benzema ana Doa National Team...

Alafu Giroud ni mchezaji Mwenye Nidham sanaaaaa, ndomana hakuna kocha asiyempenda Giroud....

Deschamps anaogopa asije akashusha Morali ya Giroud
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Muarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
 
Uzi ufungwe,mfaranza kwa miaka mingi ana ile inaitwa assimilation policy,sasa hawa waarabu they dont want to comply with it,wanataka kupractice culture za kiarabu kwenye nchi ya kikafir.

Makocha wa kizungu wanatambua chezaji akiwa amefunga mwezi wa ramadhani kipindi cha mechi anakuwa hana calories za kutosha,au kukatisha mazoezi kwenda kuswali .waarbu moderete wanafanikiwa ila wale extremist ngumu kuwabeba
 
Ribery alikuwa hapendwi kabisa km benzema ilivyo
UFARANSA TUNAIPENDA USITUGAWANYE,

Thomas Valbuena,Frank Riberry,Karim Benzema

Kwa muda tofauti walipigwa pini, sasa hawa wote ni Waarabu....Tayari Benzema ana Doa National Team...

Alafu Giroud ni mchezaji Mwenye Nidham sanaaaaa, ndomana hakuna kocha asiyempenda Giroud....

Deschamps anaogopa asije akashusha Morali ya Giroud
 
Sasa mbona wabakimbilia ulaya
Muarabu siku zote huwezi kumbadili urai na uzalenda wa taifa lake hata uko azaliwe umpe kila kitu, atabaki kua raia na muislamu wa uarabuni, na wewe atakuona kama kafiri alie potea, na juhudi zake zote ni kukubadili dini uwe Muislimu kama yeye, jambo ambalo ni tofauti na African Black ukimpa anavyotaka na jina Lake anabadili pamoja na tamaduni na dini.
 
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs ufaransa

Kuna jambo sio zuri

Mchezaji wa ufaransa na real madrid benzema aliomba ashiriki kuanzia mechi za robo fainali kwasababu tayari alishapona ila hakujibiwa hadi siku ya jana alipoamua kutema nyongo
Benzema ni mwarabu

Hili tukio lilinifanya nichunguze kwa kina kuhusu hii trend

Ufaransa ndio nchi ya ulaya ambayo inawageni wengi waarabu kuliko nchi yeyote ya ulaya wengi wao hukimbia vita na njaa kwenye nchi zao

Waarabu wengi wachezaji wa mpira wa miguu huanzia maisha yao ya mpira kwenye vilabu mbalimbali nchini ufaransa
Km ilivyo weusi

Pia national team za vijana wengi huchezea Timu za ufaransa kama walivyo weusi

Ila cha ajabu wachezaji wenye asili ya kiarabu hawaonekani timu ya taifa tofauti na wale wamatumbi (weusi)

Wachezaji weusi wale vijana huchezeshwa mechi nyingi timu ya wakubwa ili wasije wakaswitch utaifa
Ila waarabu wanaachwa kizembe tu huu ni ubaguzi

Ufaransa hii dhambi ya kubagua waarabu na kuwabeba weusi haitawaacha salama

Kwa kuwa ufaransa mnagusana ndugu zetu waarabu
Sisi bara la africa kwa pamoja tunasimama dhidi yenu mshikishwe adabu na argentina

Ndugu zangu waafrika tuwakatae ufaransa leo kwa ubaguzi wao dhidi ya waarabu na tuiunge mkono timu ya argentina

Asante
Sababu Mali ambazo Ufaransa anaiba kwenye hizo nchi za magharibi ya afrika ni... Mara elfu... Yaani kuwaweka wachezaji 13 uwanjani au 20 Kwao si kitu kuliko hizo Mali wanazobeba kwenye nchi asili ya Hao watumwa WA kizazi kipya
 
Mbona waarabu walikuwa wanalalamika ufaransa wanapora pia

Kwenye hili haupo sahihi. Ufaransa imejaa watu toka Africa magharibi ni Kwa sababu mfaransa alitawala kule na sera yake ya assimilation.
Weusi wengi wanaenda ufaransa bila shida yoyote na hii ndo sababu France Ina ma black wengi Wala sio ubaguzi
 
Ufaransa ilitawala pia nchi za kiarabu na waarabu wengi wanakimbilia ufaransa

Ha ha ha waafirika hawanaga mdomo.
 
Umewasikia ndugu zako Morocco? Mwarabu ni fedhuli hana jema. Morocco inatoka hapa hapa Afrika lakini walichosema kuwa ushindi ni kwa ndugu zao waarabu na waislamu wenzao. Wakacheze uarabuni
 
Back
Top Bottom