Tatzo ni aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki. Kumuacha si kazi tatzo ile aibu ya kuibiwa mke na ww kibaba umeshindwa la kufanya ndio kinacho muumiza mtu. Bob usiombe yakukute. Noma Sanaa !!! Hahahaha
Hakuna huo ni uhanithi yaan kamvulia mtu mwingine na mm nije kuingia tena hapo hapo.
Na mbaya zaidi ni wakati wa njaa kali ndo kasepa! Hata aniroge imekula kwake. Wacha nife na ukwasi kama sikupata mwingine lakini siwezi kula matapishi ya mtu mwingine.
Nimng'ang'anie umekuwa mgodi nikiingia naongeza utajiri f*** it kama si wa kuishi hata ufanyaje utakonda wenzio wanajinenepea fanya yako kalagabao...
Single and happily ever after
Tatzo ni aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki. Kumuacha si kazi tatzo ile aibu ya kuibiwa mke tena mke wako wa ndoa na alaf wewe kibaba umeshindwa kufanya chochote na mwanamke anakula uroda nnje tu bila wasi ndio kinacho muumiza mtu. Bob usiombe yakukute. Noma Sanaa !!! Hahahaha
Unanikumbusha Dr.W.Slaa wa chadema jinsi alivyopora mke wa mtu.
Waswahili tuna msemo, "fedha fedheha".
Aibu yake mm sitoona aibu kwa tamaa zake za fedha
Unanikumbusha Dr.W.Slaa wa chadema jinsi alivyopora mke wa mtu.
Waswahili tuna msemo, "fedha fedheha".
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
inaniuma sana
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
rafiki naomba msaada hapa......Unatakiwa kushukuru ameku nyang'anya kimeo....muachie tafuta mwingine
hivi jukwaa la siasa haliwatoshi mpaka mje kula kuberi zenu na kuvuta shisha huku? hili jukwaa liheshimiwe bangi zenu pelekeni huko huko siasani.
I will simply walk away...