1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights)
2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka
3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au L)
4) Gari ikipingua mwendo, vita hand brake Taratibu Taratibu hadi utakapokuwa umeivuta yote.
5) kama eneo ni baya zaidi mfano barabara yenye mteremko au Bonde, lengesha gari Yako kwenye kwenye upande Wenye sapoti ya ngema na kisha iserereshe na ukuta wa ngema.
NB, hatua zote zinapaswa kufanya kwa Kwa mfuatano na haraka huku ukiomba Dua maana uhakika wake ni 70%