Ufahamu uchawi wa Sigil

Nitaendelea kwa kadiri ya maswali na uhitaji wa maelezo ya nyongeza
Lakini mshanajr, mbona law of attraction nyingi zinasisitiza ku meditate, na kwamba lazima uanze kwa ku meditate ndio u visualize unachokitaka..... Pia kuna uzi mmoja wa astral projection jamaa kasema meditation ni mapepo, yeye yalimuigia alipokua huko sikumbuki nchi aloenda akayapata.
 
Law of attraction sio ushetani ni jinsi nature inavyorespond kutokana na mahitaji yetu mi sioni uchawi hapo. mazingira yanayotuzunguka yanareact na vibes na frequencies tunazozitoa mfano ukiwaza mabaya yatakutokea mabaya na viceversa. Ni simple equation tu.
 
Yeah like attracts like, we are what we think.
 
hivi kwanini WACHAWI WANAKUWAGA MASKINI WA KUTUPWA..il hali wanaweza kufanya watakavyo kuhusu pesa....mfano wa kilokote...kukusanya pesa kwa njia yaa shirki.....sasa hizo pesa kwaninj wasijitajirishe,wao wanazama zaidi kwenye ufukare...???...
 
Mkuu hiko kitabu umenikimbusha mbali sana,nilikisoma longtime sana

Law of attraction sio uchawi mkuu[emoji4]
 
Kabisa[emoji106]
 
Hapana hiyo ni kama kisu moto nk inategemea unaitumiaje negatively or positively
 
tetee unajua sisi hatujawa binadamu kamili mpaka tuyafahamu yale ya kizani katika uhalisia wake..na njia mojawapo ya kufahamu hayo ya gizani ni meditation satanism...huko ndio utambuzi halisi unakopatikana na uwezo wa kutaka kufanya kitu na kikafanyika bila kutumia nguvu..! Hizi kanuni zinapingana na Mungu kwakuwa tunaambiwa UWEZA anao yeye aliye JUU mbinguni na sisi twapaswa kuamini tu.. kumbuka uumbaji wa dunia yeye ALITAMKA tu na ikawa!
Hii WILL POWER ya kuweza KUTAMKA na ikawa inapatikana kwenye meditation katika level ya JUU na hypersigils nk
 
nihisi huu sio uchawi wa kiafrika...huu ni wa level ya kidunia...universal sorcery practice.ngoja mshana atufafanulie vizuri.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] upo hata huku kwetu lakini kwa jina lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…