Ufahamu kuhusu Ouija Board umefika Tanzania?

Ufahamu kuhusu Ouija Board umefika Tanzania?

ouija board ni ushetani tu nlkuwa nao ubao huo nlinunua kwenye mnada wa wazungu kwenye shule ya hopac hapo nlicheza na mwanangu siku moja tu tukalitia moto

|ChatBot[emoji880]✓|[emoji769]
 
So ni kama tu meditation ya aina flani! Hizi vitu ni kama tu kucheza na akili zako mwenyewe! Ni kama kufumba macho na kuilazimisha akili yako ikuletee sura ya marehemu baba yako,obviously utaiona as you wished! Nothing strange,nothing new!
 
Kwahiyo huu ubao ni kama toy kwa maelezo yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna mtu mdadisi wa mambo basi usijaribu oija board ni mbaya sana! Ubao huu unafungua lile shimo la kuzimu.
 
Kwahiyo huu ubao ni kama toy kwa maelezo yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes and No!! Kwenye ku meditate kunahitaji kitu utakachokitumia kuwa Link kati yako,ubongo wako na matazamio yako!! Mazingaombwe vilevile!! Chriss angel akitaka kutuonyesha kitu cha ajabu kwanza anatuonyesha cha kawaida na kuku stick kwenye hicho ili kuuweka tayari ubongo wako kupata kile inachotarajia!! Huwezi kwenda kwa sangoma na kukuta chumba chake cha kazi kikiwa kisafi kabisa bila makorokoro ya kukutayarisha kuona "muujiza"ambao in reality ni just Placebo effect!!
 
Back
Top Bottom