Yanauzwa kwa tani, tani moja ni milioni 5+, yanapatikana wapi?, uzuri huwa yaandamana na quatz za rangi mbalimbali, kama una bahati unaweza kukutana na pocket yenye shangingi(Alexander right), sapphire za rangi mbalimbali, tourmaline za rangi mbalimbali n.k.
Ninawasiwasi wewe ndo hujanielewa... ili uweze kujua Jina la mwamba au Jiwe kunabaadhi ya sifa unapaswa kuona physicaly. Rangi peke haitoshi kwakua germstons maranyingine hufanana rangi