Ufafanuzi

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
kuna tabia iliyozoeleka ktk jamii yetu kwa mfano mtu ana nguvu kwenye mkono wa kulia.akifany kitu kwa mkono wa kushoto anasema huo sio mkono wangu au huo sio mguu wangu.hii kiuhalisia si sahihi.
je wanazuoni wa lugha yetu ya kiswahili unatakiwa useme vipi?
nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom