Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming
Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo
Mtandao wa kampuni yake haupatikani au
Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi)
"Unapotumia nyumba ya jirani kwa muda kwa sababu nyumba yako haipo karibu"
Swala la Roaming ya Starlink Tanzania linashangaza sana ni jambo geni duniani kwasababu ni kampuni ipi nyingine inayotoa huduma Tanzania ndipo kampuni ya Starlink iweze kupokea huduma kupitia vifaa vya Starlink
Kama huduma hiyo ya Roaming inatolewa na kampuni hiyo hiyo ya Starlink basi ni kinyume na Sheria kwasababu vifaa vyake vimehusika kusambaza huduma yake mwenyewe ambayo haijaruhusiwa Tanzania kisheria
Na Elon Musk atakuwa ni msomi wa aina gani hii inayokiuka sheria za dunia kwa kiasi hiki, ni jambo la kushangaza sana kwasababu hatujazoea kuona wasomi wa kiwango hiki cha elimu wakifanya mambo ya hovyo kiasi hiki
Pengine Roaming iwe ni upotoshaji lakini kama ni kweli basi Elon Musk atapoteza sifa ya kuwa msomi wa hali ya juu