Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
UFAFANUZI
Chama kinachoongoza hivi sasa ni Chama Cha MapinduziCCM unapozungumza kauli kama hii lazima uangalie na hali halisi ya Chamachenyewe kama Taasisi.
Kwanza, Chama Cha Mapinduzi kina wanachama hai wengiambao ni watanzania kuliko CHADEMA.
Pili, Chama Cha Mapinduzi kina mashabiki na wapenziwastaarabu ambao ni watanzania wengi kuliko CHADEMA.
Tatu, Chama Cha Mapinduzi katika mfumo wake hakijapataombwe la uongozi, kina uongozi katika ngazi za Shina, Tawi, Kata, Jimbo,Wilaya, Mkoa na Taifa na hao wote ni watanzania. Na kama kuna Chama chenye heshima yakuwasemea watanzania wote kila kona ni CCM sio Chama kingine chochote.
Nne, katika uchaguzi wa ndani ya Chama wa mwaka 2012,watanzania wameendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi ndani yaCCM. Mpaka sasa Mashina yamekwishafanyauchaguzi kwa asilimia 97.56. Haowalioshiriki uchaguzi huo wa mashina ni watanzania.
Unahesabu na yule MAREHEMU?