Ufafanuzi wa hotuba ya "upotoshaji" ya Zitto kwa watanzania waishio Marekani

UFAFANUZI
Chama kinachoongoza hivi sasa ni Chama Cha Mapinduzi“CCM” unapozungumza kauli kama hii lazima uangalie na hali halisi ya Chamachenyewe kama Taasisi.

Kwanza, Chama Cha Mapinduzi kina wanachama hai wengiambao ni watanzania kuliko CHADEMA.

Pili, Chama Cha Mapinduzi kina mashabiki na wapenziwastaarabu ambao ni watanzania wengi kuliko CHADEMA.

Tatu, Chama Cha Mapinduzi katika mfumo wake hakijapataombwe la uongozi, kina uongozi katika ngazi za Shina, Tawi, Kata, Jimbo,Wilaya, Mkoa na Taifa na hao wote ni watanzania. Na kama kuna Chama chenye heshima yakuwasemea watanzania wote kila kona ni CCM sio Chama kingine chochote.

Nne, katika uchaguzi wa ndani ya Chama wa mwaka 2012,watanzania wameendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi ndani yaCCM. Mpaka sasa Mashina yamekwishafanyauchaguzi kwa asilimia 97.56. Haowalioshiriki uchaguzi huo wa mashina ni watanzania.


Unahesabu na yule MAREHEMU?
 
Haya majibu hata babu yako kijijini hawezi kukusikiliza sembuse humu, watu wana macho wana maskio wana tv, radio na mitandao unaleta porojo zilezile, Hebu toa huo upuuzi eti tawi dogo Dodoma. period!
 
Ni upumbavu ccm kupoteza muda kutoa ufafanuzi wa mambo ambayo watanzania wanaufahamu nayo...
 
Mwizi ni mwizi tu. Yaani kwangu mimi, wale jamaa waliokwapua BoT, na wale waliotorosha wanyama hai kwenda Qatar, wale wakwapua simu Kariokoo na kwingineko, na wale walioweka fedha ya UDA kwenye akaunti zao na hata hata wale wasomali waliopora ng'ombe pale Rorya na hata hawa wanaopora hoja za kisiasa; woooote hao, tena nasema wooooote bila kumbagua mtu, ni wezi live! Na stahili yao ni moja tu. Kufungiwa tairi chakavu kiunoni, kumwagiwa petroli kidogo kisha.......
 
ID yake tu imenipa kinyaa kujibu thread yake. kwaanza anatoa ufafanuzi kama nani? Pili ufafanuzi wenyewe umekaa kimasaburi kama hiyo ID yake.
mambo usiyoyajua, PIGA KIMYA!
 
Hawa watoto waliondaa hii statement mbona hawarudi hapa JF kutumbia ukurasa gani kwenye ilani ya CCM 20101-15 unataja Katiba Mpya? Mko wapi nyie watoto?

Kama mnajiandaa badi pia mje na idadi ya watoto wa wakubwa wanaosoma shule za kata!
 
Ulevi noma? Kwani wabunge wa CDM hawakuzomewa bungeni? Na bado hamtaki kujadili suala la muungano, shauri yenu CCM, Haiitaji Zito kusema, yatawatokea puani.
 
swala la katiba:AG na maziri wa sheria waliapa kwamba katiba kamwe haitabadilishwa.baada ya presha kutoka vyama vya siasa na wadau wengine rais akatepeta,hatujasahau.#
swala la elimu:sekondari za kata mtoto anamaliza shule aijui hata burnsen burner,test tube nk.
Swala la majimbo:majimbo sio uhaini unavyopotosha,hata majirini zetu kenya wanampango huo.
Swala la uchumi:bora yako wewe unakula na kusaza,tembelea mikoani vijijini uone watu wanavyo shindia mlo mmoja.
Wewe ulieandika uzi huu,unastahili pakora,tambua kwamba jf sio mahali pa kubwabwaja ***** kama huu.
 
CCM mmekosa kazi, sasa mlikuwa mnataka kudanganya au kutoa ufafanuzi. Nyie kweli wagonjwa.
 
sisiem ni mfa maji ambaye haish kutapatapaa, ccm zee zimaa hoovyo , mjipange mwenda pole cdm anakuja na ha2waach lazima mafithad wote 2wafilis na mtakwenda jela!
 
CCM tekelezeni ahadi zenuna ilani kama chama tawala haya mengine mnaendelea kujianika kuwa huko kwenu mnafikiri kwa kutumia matumbo!
 
Nilijua 2, ccm lazima wataleja hoja zao kumhusu zito huko u.s.a ambazo hazina kchwa wala mkiaa! kiko wap ?, ona mnvyobabaika, 2nataarifa zenu zote ccm na visa vyenu
 
kwa majibu haya ndo kumbe kama taifa hatuendelei maana kama mtoto vile wa subu aliyeandika. Majibu mepesi kama uji wa mtoto tena mgonjwa!!!
 
Badala ya kulalamika kuhusu nani ni mwanzilishi wa kutaka katiba mpya nadhani CCM mngetuambia lile sakata la Zanzibar wanalitatua vpi..? Wameshaambiwa wabara wafungashe virago kule na makanisa yanaendelea kuchomwa moto.. Na jee mtatoa tamko kuhusu hali hiyo..? Mcijaribu kuhamisha mawazo ya wananchi...
 
kwanza nashukuru sana, mr.sanga ku2letea hiyo taarifa hapa ! Ufithad ,giriba, majigambo, anasa, ujanja ujanja, ulafi na uroho wa baadh ya vigogo wa sisiem ndio unao leta laana inayo itafuna na kuibubuna sisihem mpaka pa mwishooh, jahaza la sisihem lipo kwenye kina kirefu litazama s punde!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom