YAKUTA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 425
- 208
Kimsingi inasikitisha sana. Raisi wetu mpendwa anapambana kupunguza mizigo kwa wananchi wake lakin kuna watendaji wanamuangusha.
Raisi wetu mpendwa alitangaza hadharani kuondoa 6% ya ongezeko la thamani kwenye mikopo ya elimu ya juu( value retention fees) na penati zote.
Hali hii ilipelekea madeni ya wanufaika kupungua kwa asilimia kubwa.
Mbaya zaidi salary slip za mwez huu wa January madeni mapya yameandikwa na madeni kuongezeka.
Huu ni uonevu uliopitiliza!
Kwanin madeni yameongezeka?
Heslb
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app