Na wewe umeingiza ubaguzi piaMaskini Mwalimu alikuwa na nia safi ila hali ya sasa na matukio ya kibaguzi ya Wazenji kwetu wenye vichogo, ndipo statement yako inakuwa sawasawa na mfano wa Bantu Lady
Kiuhalisia muungano kwa sasa haufai
Muungano wa sasa umeshikiliwa na uzi mwembamba sana wa kipengele cha siasaKiuhalisia muungano kwa sasa haufai
Ukimsikiliza vzr yule bwana alikua anaitwa Ustaadhi Ilinga Hassan Kapungu kuna kitu kama nakua naelewa sana, na mbaya zaidi wao walichelewa, walitakiwaga toka enzi hizo waifanye Zanzibar kua kama mkoa ili kuondoa tofauti, lakini ilipofanywa kua Serikali, kuna namna ambavyo wao wanaona wazi kua walipolwa nchi yao, na hata leo hua wanatamani kujitenga muda wowoteMaaana halisi ya neno RAZABA ni Ranchi ya Zanzibar, Bagamoyo (Ranch of Zanzibar in Bagamoyo) Kwa simulizi kutoka kwa watangulizi wetu eneo la RAZABA ilikuwa ni zawadi ya Mwalimu Nyerere kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na lina ukubwa wa zaidi ya hekta elfu ishirini na nane.
Mto Wami, reli ya Tanga, Barabara ya Bagamoyo Msata, mto ruvu na bahari ya hindi ndio mipaka halisi ya RAZABA. Mmiliki wa RAZABA ni Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa maana halisi, RAZABA ni eneo la Zanzibar ndani ya Tanganyika.
Hayati Mwalimu Nyerere alitoa eneo hilo ili kuwapa fursa Wazanzibari kumiliki mifugo yao wenyewe, na mifugo yote inayotoka maeneo ya Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma na kwingineko kwenda Zanzibar, ifikie RAZABA kabla ya kusafirishwa kwenda kutumiwa na wananchi wa Zanzibar.
View attachment 2643043View attachment 2643044
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha majengo ya ubalozi na umiliki wa ardhi....kwani majengo ya ubalozi ndio umemiliki ardhi mazima.Hili mbona liko wazi Kuna shida kubwa sana ya Watanganyika kutokujua historia Na Kwani Smz KUWA na ardhi NDANINYA TANGANYIKA nikosa !!! mbona sisi Tz tuna majengo ya ubakozi tunamiliki mataifa mengi tu
Sheria ya ardhi kuwa chini ya Rais hapo imetumika vibaya.Maaana halisi ya neno RAZABA ni Ranchi ya Zanzibar, Bagamoyo (Ranch of Zanzibar in Bagamoyo) Kwa simulizi kutoka kwa watangulizi wetu eneo la RAZABA ilikuwa ni zawadi ya Mwalimu Nyerere kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na lina ukubwa wa zaidi ya hekta elfu ishirini na nane.
Mto Wami, reli ya Tanga, Barabara ya Bagamoyo Msata, mto ruvu na bahari ya hindi ndio mipaka halisi ya RAZABA. Mmiliki wa RAZABA ni Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa maana halisi, RAZABA ni eneo la Zanzibar ndani ya Tanganyika.
Hayati Mwalimu Nyerere alitoa eneo hilo ili kuwapa fursa Wazanzibari kumiliki mifugo yao wenyewe, na mifugo yote inayotoka maeneo ya Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma na kwingineko kwenda Zanzibar, ifikie RAZABA kabla ya kusafirishwa kwenda kutumiwa na wananchi wa Zanzibar.
View attachment 2643043View attachment 2643044
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanagenzi ila kwa bahati mbaya ranch haikutolewa kipindi cha uchumba (1964), imekuja kutolewa (1977) muongo mmoja na nusu mbeleni.
Mchonga (RIP) DUDE! Has a story to narrateSheria ya ardhi kuwa chini ya Rais hapo imetumika vibaya.
Utaratibu wa kuwapatia Zanzibar ulifanyikaje?
Pamoja na kwamba sipaswi kulizungumza hili ila kila tukitawaliwa na Mzanzibari, huwa hajali mambo ya Bara as if inakuwa na donge! Ufisadi huzidi na huwa hawajali. Ukienda Zenji Ona wanavyojitanua. In fact nao wanasubiri tu uzi ukatikeMuungano wa sasa umeshikiliwa na uzi mwembamba sana wa kipengele cha siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapendelewa wakati wazanzibar wakija huku katika nyanja za kisiasa wanakuwa kama jehanamu?Muungano uvunjwe maana Zanzibar inapendelewa mno. Uvunjweeewe