Hatuwezi kuwa watumwa wa Historia za kipumbavu. Ni aidha tuwe na umiliki sawa kama Watanzania Serikali 1, au mbaki na Kisiwa chenu Muungano ufe.Hili mbona liko wazi Kuna shida kubwa sana ya Watanganyika kutokujua historia Na Kwani Smz KUWA na ardhi NDANINYA TANGANYIKA nikosa !!! mbona sisi Tz tuna majengo ya ubakozi tunamiliki mataifa mengi tu
š¤£š¤£Unaitwa Muungano, lakini kwa jicho la 3 hapa mfano wake, ni kama Tanzania bara kamuoa Zanzibar. Na wakati wa uchumba ndiyo kuhongwa Ranchi hiyo na bado mengi tutayasikia.
Sasa kipindi kamili cha ndoa ndiyo, hii kuhudumia mke sasa mara kafutiwa deni lote la umeme.
Unajua ile mke, anadekezwa na kupewa kila anachotaka. Ndiyo nikionacho hapo.
Na wakati wa uchumba ndiyo kuhongwa Ranchi hiyo [emoji23]Unaitwa Muungano, lakini kwa jicho la 3 hapa mfano wake, ni kama Tanzania bara kamuoa Zanzibar. Na wakati wa uchumba ndiyo kuhongwa Ranchi hiyo na bado mengi tutayasikia.
Sasa kipindi kamili cha ndoa ndiyo, hii kuhudumia mke sasa mara kafutiwa deni lote la umeme.
Unajua ile mke, anadekezwa na kupewa kila anachotaka. Ndiyo nikionacho hapo.
Hamkufatilia tatizo RAzABA ilikuwepo miaka nenda rudi babu kijanaHatukuwai kuambiwa hapo nyums kuna RAZABA sijui kazabwa iweje leo?
Anyway kuna mchakato wa kujengwa bandari pale isijekuwa siyo yetu.
Tunywe mtori nyama ziko chini km tutazikutaš„²
Usisahau na Mkaa ulitoka hapo kupakiwa katika majahaziMaaana halisi ya neno RAZABA ni Ranchi ya Zanzibar, Bagamoyo (Ranch of Zanzibar in Bagamoyo) Kwa simulizi kutoka kwa watangulizi wetu eneo la RAZABA ilikuwa ni zawadi ya Mwalimu Nyerere kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na lina ukubwa wa zaidi ya hekta elfu ishirini na nane.
Mto Wami, reli ya Tanga, Barabara ya Bagamoyo Msata, mto ruvu na bahari ya hindi ndio mipaka halisi ya RAZABA. Mmiliki wa RAZABA ni Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa maana halisi, RAZABA ni eneo la Zanzibar ndani ya Tanganyika.
Hayati Mwalimu Nyerere alitoa eneo hilo ili kuwapa fursa Wazanzibari kumiliki mifugo yao wenyewe, na mifugo yote inayotoka maeneo ya Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma na kwingineko kwenda Zanzibar, ifikie RAZABA kabla ya kusafirishwa kwenda kutumiwa na wananchi wa Zanzibar.
View attachment 2643043View attachment 2643044
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha na huu mfano hasa ukitoka kwa kisura kama weweUnaitwa Muungano, lakini kwa jicho la 3 hapa mfano wake, ni kama Tanzania bara kamuoa Zanzibar. Na wakati wa uchumba ndiyo kuhongwa Ranchi hiyo na bado mengi tutayasikia.
Sasa kipindi kamili cha ndoa ndiyo, hii kuhudumia mke sasa mara kafutiwa deni lote la umeme.
Unajua ile mke, anadekezwa na kupewa kila anachotaka. Ndiyo nikionacho hapo.
Maskini Mwalimu alikuwa na nia safi ila hali ya sasa na matukio ya kibaguzi ya Wazenji kwetu wenye vichogo, ndipo statement yako inakuwa sawasawa na mfano wa Bantu Lady