CHAMA hiki tishio kinayo idara ya uenezi chini ya Makene.Mkuu tunaposema Chadema imekufa inashindwa kuelewa ?
Hao wamepoteza mwelekeo Tusubiri October tuzike
CHAMA hiki tishio kinayo idara ya uenezi chini ya Makene.
Hiki chama ni tishio? Au kinamalizikia kufa?CHAMA hiki tishio kinayo idara ya uenezi chini ya Makene.
Ni humu kwenye mitandao ya kijamii. Bavicha wote ni kazi yao! Kila mtu kambare...Kwa miaka mingi nimekuwa nikifuatilia namna Chadema inavyo jitangaza na kutafuta ufuasi. Katika jambo linalonipa maswali ni kutosikika kwa idara yake ya uenezi.
Sijafahamu vizuri kitengo cha uenezi kama kipo kwa jina jingine au hakipo na shughuli zake zimeelekezwa kwenye ngazi ipi. Ukifuatilia CCM kitengo cha uenezi miaka yote kinapewa nguvu na penda usipende, mwenezi wa CCM anafahamika katika ngazi ya taifa na MIKOA mikubwa.
Sijafahamu kama tatizo la Chadema ni muundo, mfumo wa utendaji au kumekuwa na waenezi dhaifu miaka yote.
Kuna baadhi ya majina kama Mtelemwa, Mushi, Makene sifahamu hawa ni maafisa habari au waenezi.
Kama kweli Chadema hawana hiyo ngazi ya uenezi basi muundo wao unawapunguzia nguvu ya kujiuza kwa wananchi. Ni vizuri Chadema wakatathmini muundo na nguvu wanayopaswa kuzipa idara zake .
Waenezi ni muhimu ngazi zote kuanzia taifa, Kanda, Mikoa , Wilaya, Tarafa na Kata. Si nafasi ya kupuuza.
Kitu cha kwanza kabisa kwa ccm waamkapo asubuhi ni kuomba Mungu CDM ife.Hiki chama ni tishio? Au kinamalizikia kufa?
Kwani humjui mwenezi wa Chadema? Muda wote ni kulialia tu, anaitwa ErythrocyteKwa miaka mingi nimekuwa nikifuatilia namna Chadema inavyo jitangaza na kutafuta ufuasi. Katika jambo linalonipa maswali ni kutosikika kwa idara yake ya uenezi.
Sijafahamu vizuri kitengo cha uenezi kama kipo kwa jina jingine au hakipo na shughuli zake zimeelekezwa kwenye ngazi ipi. Ukifuatilia CCM kitengo cha uenezi miaka yote kinapewa nguvu na penda usipende, mwenezi wa CCM anafahamika katika ngazi ya taifa na MIKOA mikubwa.
Sijafahamu kama tatizo la Chadema ni muundo, mfumo wa utendaji au kumekuwa na waenezi dhaifu miaka yote.
Kuna baadhi ya majina kama Mtelemwa, Mushi, Makene sifahamu hawa ni maafisa habari au waenezi.
Kama kweli Chadema hawana hiyo ngazi ya uenezi basi muundo wao unawapunguzia nguvu ya kujiuza kwa wananchi. Ni vizuri Chadema wakatathmini muundo na nguvu wanayopaswa kuzipa idara zake .
Waenezi ni muhimu ngazi zote kuanzia taifa, Kanda, Mikoa , Wilaya, Tarafa na Kata. Si nafasi ya kupuuza.
Ocds na rpcs ndio waenezi wa chademaKwa miaka mingi nimekuwa nikifuatilia namna Chadema inavyo jitangaza na kutafuta ufuasi. Katika jambo linalonipa maswali ni kutosikika kwa idara yake ya uenezi.
Sijafahamu vizuri kitengo cha uenezi kama kipo kwa jina jingine au hakipo na shughuli zake zimeelekezwa kwenye ngazi ipi. Ukifuatilia CCM kitengo cha uenezi miaka yote kinapewa nguvu na penda usipende, mwenezi wa CCM anafahamika katika ngazi ya taifa na MIKOA mikubwa.
Sijafahamu kama tatizo la Chadema ni muundo, mfumo wa utendaji au kumekuwa na waenezi dhaifu miaka yote.
Kuna baadhi ya majina kama Mtelemwa, Mushi, Makene sifahamu hawa ni maafisa habari au waenezi.
Kama kweli Chadema hawana hiyo ngazi ya uenezi basi muundo wao unawapunguzia nguvu ya kujiuza kwa wananchi. Ni vizuri Chadema wakatathmini muundo na nguvu wanayopaswa kuzipa idara zake .
Waenezi ni muhimu ngazi zote kuanzia taifa, Kanda, Mikoa , Wilaya, Tarafa na Kata. Si nafasi ya kupuuza.
Kweli nimegundua Chadema haiko sawa Kimuundo , hii inampa kazi ngumu mwenyekiti wao. Mashambulizi yote kwake na majibu ya mashambulizi anafanya yeye Freeman kweli kifo hakina huruma.Ocds na rpcs ndio waenezi wa chadema
Kazi ya uenezi Chadema imekosa kiongozi. Makene anasimama kama afisa habari Msigwa lakini mwenezi hakuna !!!!!!Chadema ifanye mabadiliko iwe na idara ya uenezi. Inawezekana idara hii ndio inapaswa kutumia fungu kubwa la fedha za chama ndio maana viongozi hawapendi kuwa na kitengo imara cha uenezi badala yake Mwenyekiti, Katibu mkuu wakuu wa jumuiya ndio hao hao wanajigawia fungu na majukumu ya uenezi.Ni humu kwenye mitandao ya kijamii. Bavicha wote ni kazi yao! Kila mtu kambare...
Hizo buku tatu unazolipwa zinapotea bure!Makene Ndio nani?
uenezi makene?CHAMA hiki tishio kinayo idara ya uenezi chini ya Makene.
Nimefurahi sana kupata ufafanuzi kutoka kwako bwana Kibanga. Naendelea kushauri.
Watu kama Nyalandu, prof J , Shilinde anayeondoka, wangeweza kufanya jukumu hili.Nimefurahi sana kupata ufafanuzi kutoka kwako bwana Kibanga. Naendelea kushauri.
Chadema waone umuhimu wa kuwa na Katibu mwenezi badala ya kuwa na kurugenzi yenye mchanganyiko wa majukumu.
Ukitazama hapo unaona Kiongozi wa hii kurugenzi ya uenezi Hemedi Alli ni mgeni masikioni na machoni pa wengi. Vyombo vikubwa vya habari Sidhani kama anafahamika au anavitumia vya kutosha.
Nahitimisha kuwa kuna tatizo la ki muundo wa chama na hii imesababisha chama kujieneza kwa njia za kimafia kupitia watu kama Mdude , Mange, na wengine.
Tatizo hili linawapa kazi ngumu Katibu mkuu na mwenyekiti kufanya shughuli za uenezi na kuwafanya kuzoeleka. Ndio sababu Polepole anamparamia Mbowe .Angalikuwapo Katibu mwenezi mwenye nguvu angewalinda viongozi wa juu kwa ku absorb pressure za chini na kufanya baadhi ya Press.
Chadema pokeeni ushauri huu.
Sent using Jamii Forums mobile app