Mkuu sijui wewe wa wapi...hivi hii si ilikuwa baada ya REDCARD ama? Hivi unajua kwanini Wojciech Szczęsny alikuwa man of the match kwenye game dhidi ya Man U?
Watu washajitoa ufahamu mkuu.Game ilikuwa 50/50 but kumbuka mkiwa 11 vs 11 mlipata nafasi kama 2 mkashindwa kuzitumia then mnaanza kutoa kisingizio cha red card,Kabla ya kadi mlipaswa muwe mnaongoza 2-0.Hiyo game na Man United alivyokuwa Man of the match mlishinda goli ngapi? Na ni kipa huyo huyo aliyedaka mlipofungwa magoli 8,magoli 6 then magoli 5
Na zote zilikuwa ugenini na aidha zina/ilifundishwa na Pep....kamari hiyo aka freemasons...
Naona mashabiki na wadau wa Man City ni waungwana wamekubali matokeo tofauti na wenzao.
Ni kweli mkuu, MAN CITY wamekubali matokeo lakini Wenger bado anatafuta jumba bovu la kuangushia lawamamatokeo gani si wote wamepigwa 2 kwa 0 bila mkuu??
Mkuu Belo kula tano kwanza....:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:Game ilikuwa 50/50 but kumbuka mkiwa 11 vs 11 mlipata nafasi kama 2 mkashindwa kuzitumia then mnaanza kutoa kisingizio cha red card,Kabla ya kadi mlipaswa muwe mnaongoza 2-0. Hiyo game na Man United alivyokuwa Man of the match mlishinda goli ngapi? Na ni kipa huyo huyo aliyedaka mlipofungwa magoli 8,magoli 6 then magoli 5
Esabu faulo (fauls) za Bayern...ulinganishe na Kadi za njano ama red walizopewa...fanya hivyo hivyo kwa Arsenal...! Na hapo ndipo utagundua Dr.Mo anachomaanisha.
Mkuu Belo kula tano kwanza....:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Hayo maswali niliyauliza kabla lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa na majibu, badala yake wanalauamu marefarii. Mara kadhaa wanafunga magoli ya kuotea lakini hakuna hata siku walipomsifia refa kwa kuwapendelea.
Guardiola - The red card changed the gameGame ilikuwa 50/50 but kumbuka mkiwa 11 vs 11 mlipata nafasi kama 2 mkashindwa kuzitumia then mnaanza kutoa kisingizio cha red card,Kabla ya kadi mlipaswa muwe mnaongoza 2-0.Hiyo game na Man United alivyokuwa Man of the match mlishinda goli ngapi? Na ni kipa huyo huyo aliyedaka mlipofungwa magoli 8,magoli 6 then magoli 5
Mkuu sikatai red card ilibadili mchezo,baada ya kadi posibility hata ya droo haikuwepo while kabla ya kadi kulikuwa na posibility hata ya ushindi.Champions League inahitaji tactics sio mbwembwe ukipata nafasi unatakiwa kutumia otherwise sahau,nafikiri unakumbuka Messi alikosa penati kwenye game na Chelsea ndio ikawa kwaheri kwa Barca .Bayern Munich wako kama Barcelona defence yao ni mbovu na strength yao iko kwenye kiungo na kwa game ya juzi perfomance yao ilikuwa mbovu,mwanzo kabla ya kadi mlipata nafasi 2 ambazo mlipaswa kufunga mapema,unafikiri mngeweza kupata nafasi nzuri zaidi ya zile mlizopata au labda Bayern wangejifunga Mambo ya msimu ulipita achana nayo usifikiri game ya Arena itakuwa kama last season kumbuka Ribery na Bastian watakuwepo kwenye hiyo game then kwa kiwango hiki cha Arsenal cha sasa ni ngumu sana kuwatoa Bayern.Kingine ni kuwa Arsenal ana ratiba ngumu sana February na March na majeruhi(Walcot,Gibbs,Ramsey) na wachezaji wengi wamechoka(Giroud,Ozil)Tatizo lenu #Mburukenge hamtaki kukubali ukweli kwamba B. tuliwashika ila ile Redcard ndiyo ilibadili mchezo....hata Gardiola analijua hilo...#Mburukenge subirini kwao mtajua naongea nini. Belo @grafani11
Guardiola - The red card changed the game
19/02/14 10:13pm
Bayern Munich manager Pep Guardiola said Arsenal were the better team in the first 15 minutes, but the game changed after Wojciech Szczesny was sent off.
Guardiola - The red card changed the game | Video | Watch TV Show | Sky Sports
Msimu huu Arsenal ana kiwango kizuri kuliko misimu mitatu au mi4 iliyopita...Ingawa vingine vyote ulivyoviongea might be OK....Hamna cha ugumu kuwatoa B. uwezo bado tunao with beauty mentality!! Ngoja uoneMkuu sikatai red card ilibadili mchezo,baada ya kadi posibility hata ya droo haikuwepo while kabla ya kadi kulikuwa na posibility hata ya ushindi.Champions League inahitaji tactics sio mbwembwe ukipata nafasi unatakiwa kutumia otherwise sahau,nafikiri unakumbuka Messi alikosa penati kwenye game na Chelsea ndio ikawa kwaheri kwa Barca .Bayern Munich wako kama Barcelona defence yao ni mbovu na strength yao iko kwenye kiungo na kwa game ya juzi perfomance yao ilikuwa mbovu,mwanzo kabla ya kadi mlipata nafasi 2 ambazo mlipaswa kufunga mapema.Mambo ya msimu ulipita achana nayo usifikiri game ya Arena itakuwa kama last season kumbuka Ribery na Bastian watakuwepo kwenye hiyo game then kwa kiwango hiki cha Arsenal cha sasa ni ngumu sana kuwatoa Bayern.Kingine ni kuwa Arsenal ana ratiba ngumu sana February na March.
February-Liverpool,Man United,Liverpool,Bayern na Sunderland
March-Spurs,Chelsea,Bayern(zote ugenini),Everton,Man City na Swansea,Stoke
Na ndiyo maana ya Analysis kuweka mambo sawa hata kama hayabadili matokeo!! Mpaka leo majukwaani wa kwenye TV wanaongelea ile redcard ya kipa ilikuwa sahihi ama lah....hata kama haibadili uhalisia wa lile tendo uwanjani.Haya maneno ya Pep hayabadili kitu,sometimes ni unafiki nakumbuka hata last season baada ya Nani kupewa red card na Man United kutolewa Jose Mourinho alisema alisema "the best team lost" but hayakusaidia chochote kwani Real Madrid alisonga mbele na Man United akatolewa
mnajipa moyo tu, barca ni timu bora kuliko man city na walicheza vizuri, bayern ni timu bora kuliko arsenal na hata kabla kipa hajatolewa bayern walikuwa wana attack mfululizo. Arsenal ingeshinda kwa bahati na si kucheza vizuri kuliko bayern na ukweli ni kuwa barca na bayern ndizo zilionekana zinacheza vizuri kabla hata ya red cards ,kwa hiyo man city na arsenal walihitaji bahati zaidi kuweza kushinda kuliko uwezo lakini stage hii imeonekana anayejua, aliyecheza vizuri ndiye aliyeshinda.
Kabla ya red arsenal alikuwa na attempt nyingi kuliko bayern na pas alikuwa anaongoza arsenal.... Mzee ulikuwa unaangalizia game kwny nn...
Pass nyingi na goal attemp hazina maana kama mwisho wa game umefungwa,Bayern na Barca wanapiga pass nyingi,goal attempt nyingi na wanakufunga magoli.Ndio maana wanapata sifa kubwa
Man city wamefungwa goli la pili dk ya 88,na Arsenal pia goli la pili dk 88,wote wmefungwa nyumbani,wakiwa pungufu ya mchezaji mmoja.