Jamani kuna siku nilishawaambia washibiki wa Barcelona hapa hawana timu inabidi wajipange upya tena, beki hakuna kabisa, midfield haina pace tena Xavi Hernandez ameshachoka; Sasa ona aibu kama hii jamani Champion League mtu unapigwa nne ubuyu. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Fainali Bayern Munich na Real Madrid na nilishaongea haya mapema kwa wenye kumbukumbu....Raha sana leo....aibu yetu ...aibu yaooo?.....Ha ha ha ha ha ha ha