mabuluu yaelekea yatashinda leo, tujiandae mwaka mzima na kelele zao, na game ilivyowakubali leo mnhhh!!!... naombea kweli Man U iwakate kidomo domo...
Hili jiwanja hmmm no comments!!! ila duh hii second half naona Bluuz walituweka in check...lakini ndio hivyo we stood the barrage of attack kutoka kwao...I hope it doesn't go to penalties.
Mimi jamani kweli mshabiki ila sasa leo naona Joto la mwili limezidi na jinsi game inavyokwenda ndio kabisa nimeona nirudi zangu kwenye JF. Ila bado nasali maana najua yaweza fika Penalti hapo ndio patakuwa hapafai kabisa.