Sio siri Wenger anawatesa sana mashabiki wa Arsenal mpaka nawaonea huruma.Muda si mrefu watakuwa sugu wa vipigo kama Liverpool.Wenger asipobadilika na kusajili vifaa basi tophies watazisikia redioni na magazetini na matokeo yake wataendeleza chuki dhidi ya Man U wakati tatizo ni kocha.