Shem na mie ninasikia kumdukua mtu humu..
hahahaaaa!!unalipa kisasi eeee
wapo wengi wa kudukua humu
jichagulie mwenyewe!!
Nisaidie kunichagulia basi wa kumdukua Passion Lady.. Nataka nirudishe heshima..
Oooh..sawa meneja
I can see
nyie ni juu yenu kukubaliana...hebu kubalianeni kwanza!!! :laser: :laser:
ndo ujue alikuwa anakuziba usijue anachokifanya akili mukichwa mi nilishaona hilo likija
Nakuomba nikamdukue mai waifu wako shansarie.. mdukuo mmoja tuu..