Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Lady doctor hanidanganyi mimi hapa, ni kwamba anakuambia ukweli hapo! sosoliso sijui ni mwanaume gani huyu hadukui nje kabisa....mpaka mie nimlengeshe - ili afanane na wenzie!!!
ni habari za kidukuzi tu mpendwa...
hapo hata mimi napangoja...
Mwambie huyo babe.. Yaani hapa natamani uliongeze makali hili limbwata ili hata kazini nisiende lol..
nathibitisha kuwa Ruttashobolwa ni patna wangu katika kumwaga pombe za watu, hatujulikani ndo maana mshkaji akatoa singo!
si ninasikia kifanyio chake always kinasujudu chini hata kusifu hakiwezi akitoka nje si aibu?
wee usisikie......mfate ujaribu! mbona kinafanya!
sema tu limbwata langu la kijeremani si mchezo!
tumeona kama ni upatner
wa kumwaga pombe za watu
haina shida,wamwage tuuuu!!
Wewe Paloma wewe mbona wataka kunitilisha majaribuni..? Akija kweli jee huyo Lady doctor ili ajaribu utarusha ngumi..? Yaani waniuza hadharani babe lol..
Wewe Paloma wewe mbona wataka kunitilisha majaribuni..? Akija kweli jee huyo Lady doctor ili ajaribu utarusha ngumi..? Yaani waniuza hadharani babe lol..
usijali watamwagiana uji mweupe!!Mradi wasimwagiane mlenda tu..
hahahaaaa!!shem babe wako anakurusha roho?
acha wadukuane tu!!
There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests)