Askari wangu!
Kamanda kiwatengu!
Au ndiyo kwa mishemishe za kampeni , miajenda kichwani imeanza kuingiliana?
Headin & Contents uwiano vipi!
Ni kama mtu aliepiga jeans iliyonyooshwa upanga umesimama , then down akapigilia Mocass !
Au mi ndo sioni vema?
ha ha ha ha!
more updates to come...
Wewe sio bure una neno!
Bt hujadisaidi kulicheua!