Nilikuwa sielewagi kumbe hata namba ni relative bhana
Yaan moja certainly ni sawa na tano
Mfano Mume mmoja mke mmoja
Sasa tafuta mwanaume alie katika couple yenye mke zaidi moja
Mletee picha au majina ya wake zake let say majina ya wakeze ni a,b,c,d na e
Swali la I "a" ni nani yako. Jibu a ni mke wangu
Swali la II "b ni nani yako. Jibu b ni mke wangu
Swali la III "c" ni nani yako. Jibu c ni mke wangu nenda mpaka five majibu ni hayo hayo
Sasa unakuja kujua kumbe kuna mazingira fulani 1 ni sawa na tano katika muktadha fulani.
Sasa hamisha mazingira hayo kwenye context ya hiyo degree utajua huyo anaeongea ni mutu aliepata degree katika relative way ndio maana anakiri kuwa moja ni sawa na tano