Kwa wanyonge njia rahisi ya kusikika mara nyingi huwa ni kuingia barabarani.
Ukifuata sheria ya mazungumzo ya amani hapa nchini utachelewa kufika kwa kuwa watakuweka kapuni na hawajali hata shida ya haraka au utakaa foleni ukome.
Baaada ya migomo kama huu hapo ndipo utaona baraza la chuo watamwita huyo makamu mkuu wa chuo na jopo lake na pia uongozi wa wanafunzi waawelekeze na kushauri cha kufanya.
Inasikitisha kuwa mgomo utokeapo eti ndipo wahusika wanatafuta kuzungumza pande zote.Toeni siasa vyuoni maana hiyo ni taasisi huru haifungamani na chama cha siasa
KUSOMA NI KUELIMIKA
COET
Faculty of ECSE kuna Depatments tatu
Department of Telecom
1:BSc Telecommunactions Engineering
Dertment of Electrical Power
2:BSc Electrical Engineering
3:BSc Electrical Power Engineering
Department Of Comp and system Engineering
4:BSc Computer Engineering and Information Technology (CIT)
Una lingine Mama?
Tafuta info kabla ya kukurupuka
Bandugu,
Ushauri wa bure kwa Mkandala-VC: Naomba uweke rasmi MGOMO kama Course mojawapo itolewayo UDSM na wanafunzi wapewe course work marks. Hii itakuwa vema maana naona migomo inachukua sehemu kubwa ya masomo UDSM na kinachopiganiwa ni cha haki kuliko nadharia zisizo na tija zilizojaa ndani ya "MADESA"
Kaka Ndege na wewe kwa leo umetokosa. Nina kijitabu hapa alikiletaga mjukuu wangu hata kozi hiyo inayoitaja wewe pia haipo. Kozi za kompyuta ni:-
B.Sc/ M. Sc ( Electronics and Information Technology)
B.Sc./M. Sc (Computer Scinece)
PGD (ICT Policy and Regulations)
Master of ICT Policy and Regulations
Kuna Department ya Computer and Systems Engineering.
I love JF,
Watu wanamkonya nyani giledi hadi inapendeza!
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
Mimi naona kuwa umemfahamisha na sio kumkomesha..na kama kumkomesha umemkomesha kwa lipi? Zaidi hiyo kauli yako inaweza kukubana hata na wewe mwenyewe.Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
Mkuu ndege ya Lowassa,Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
Mkuu ndege ya Lowassa,
Mamkwe ni jina la Kichagga nadhani tena la mwanaume.
Usimwite 'Mama Mkwe'.
Mac
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
At least unaweza kujirudi, hongera kwa hiliMkuu ndege ya uchumi!
Nadhani JF ni kufahamishana zaidi ya kukomeshana na katika hili natumaini Mamkwe ameelewa kinachoendelea na kisha tunarudi kwenye kiini cha thread hii cha kuwasaidia wasomi wetu mlimani ili wasionewe na serikali ya ccm bila sababu yoyote ile.
At least unaweza kujirudi, hongera kwa hili
Salamu zao zimefika 😀 Zaidi iwapo vijana wa Mlimani wapo kwa ajili ya kukomesha na kukomeshana badala ya kutafuta na kusimamia haki zao, basi salamu hizi hazitakuwa na maana yoyote...Mhhh,
kwi kwi kwi yaani imebidi nicheke tu! Mwambie Mkandal(r)a (sijui kama nitumie R or L kwenye jina lake) aache kupiga vijana wasomi kwa mabomu maana anajiabisha sana yeye na rafiki yake Kikwete.
Salamu zao zimefika 😀 Zaidi iwapo vijana wa Mlimani wapo kwa ajili ya kukomesha na kukomeshana badala ya kutafuta na kusimamia haki zao, basi salamu hizi hazitakuwa na maana yoyote...
Ant-Ufisadi
Nasikia mgomo wa mwaka huu Nkurumah haijaunguruma, wala hakuna solidariry. Naambiwa wanafunzi wameshindwa kujustify madai yao (nadhani this time walianza mgomo bila maandalizi ya kutosha).
Hapo kuna tatizo lingine linanukia ambalo litawaumiza sana ikitokea chuo kikafungwa. Mitihani mtaifanya sijui August bumu likiwa limekwisha, hapo ni kushindia uji, hamtakuwa na uwezo wa kugoma kwa vile bumu linakuwa controlled na Fisadi Mkono. Ukifail kwa ajili ya njaa (maana fedha zitaishia kwenye kulipia malazi guest house) hakuna kuappeal.
Nawashauri wanafunzi muache mgomo mrudi madarasani, mtachotakiwa kufanya ni kukiuka katiba ya DARUSO muahirishe uchaguzi, hapo mjipange upyaaa muwe na hoja bora sio bora hoja.
Ant-Ufisadi
Nasikia mgomo wa mwaka huu Nkurumah haijaunguruma, wala hakuna solidarity. Naambiwa wanafunzi wameshindwa kujustify madai yao (nadhani this time walianza mgomo bila maandalizi ya kutosha).