may be, may be not. Granted that it means it's partly established and now I want to apply to that college, which departments are operational among the partly established? How you figure?Fully established by 2012/13 means partly established as of 2010, right?
may be, may be not. Granted that it means it's partly established and now I want to apply to that college, which departments are operational among the partly established? How you figure?
if the darn college is such cheesy their operator probably won't know who would knowThat's when you pick up the phone and give them a call and let them know that the information on their website is insufficient. After doing that you ask them which departments are operational.
Wabeba box mnatusumbua! Kama mnataka kuandika vizungu vyenu hivyo vya kunyosha na ruler anzisheni real estates zenu, tena hizo sentence mzipake na mafuta zing'ae na kumeremeta! Oooh wamechemka wamechemka! so what maisha yataishia hapo! Mbona wakenya wakionge kiswahili kibovu au wakiandika kiswahili kibovu hamsemi! Punde mtu akigusa tu kingereza ataitwa majina yote mara juha, mara kihiyo, nk. Kwa sababu vichwa vyenu vimejaa ulimbukeni na ushamba eti kwamba English ndio imekuwa kipimo cha usomi!
English sio mother tongue na ninayo haki ya msingi kuivuruga na kuongea kadri ninavyoweza ili mradi ninaeleweka and you have no right to point your mf finger on my sentences.
Haa mitanzaia Bwana!
Mhh! That is weird definition ya ulimbukeni! Kwako wewe limbukeni ni yule tu anayejitia kuandika kiingereza bila kutafuta msaada! Kiswahili vuruga unavyotaka. Typical Mbongo! Na siendelei tena naomba niishie hapa!? Mimi ninavyojua limbukeni ni mtu anayelimbuka, na hapa kujitia kuandika Kiingereza bila kutafuta msaada wakati watu hawakijui ndiko kulimbuka kwenyewe..