UDSM Students' Death Announcement

UDSM Students' Death Announcement

Ni kweli mjumbe choza ndo maana unaambiwa kuwa makini barabarani Sawa tanroads ndio Wana kosa sababu ya shimo ila dreva wa lorry asilimia 80% ni mzembe ndo maana akalifuata basi na kuliparamia sababu hakuwa makini na inawezekana jamaa hakupata mambo yetu(mirungi) kama wengi wanavyotumia na mi nakubaliana na mbatia malori yawe yanasafiri usiku

Mkuu kwa taarifa yako dereva wa lorry alijitahidi sana kupiga breki angalia gali na tairi za lorry zilipo anza kupiga breki hadi kwenye basi.Pale TANROADS ndio mtuhumiwa namba moja akifuatiwa na dereva wa bus sababu dereva wa lorry alivyo piga breki ndio nalile kontena lilihama na kulivamia bus.
 
dah poleni wote watson jeremiah nimechat nawe ukaniambia upo makambako mnachimba dawa sms yangu ya mwisho hukuijibu mara simu yangu ikapokewa na afande RIP BROTHER
 
Nimekosa kuuona mwili wako kwani uliharibika sana pumzika kwa amani tutajaonana
 
RIP wanafunzi,mlikuwa mnarudi chuo,mmeishia Mafinga.Poleni wafiwa
 
daah inauma sana,,,,,mungu awarehemu mates, we are on the same journey
 
Poleni sana wapendwa!! Mpaka hii Serikali ya CCM ing'oke Hapo October 2015, tutaendelea kuishi tu kwa majaliwa ya MOLA

Usilete habari zako za siasa hapa wakati watu wana uchungu wa kuwapoteza wapendwa wao, hivi watu wengine mkoje?! Mnashindwa hata kutumia busara ya kawaida! Kila kitu mnawaza mnawaza siasa tu!watu wanatoa pole zao hapa we unakuja mara oooh ccm.. Toa pole kwa wafiwa. Habari za siasa zitakuja kwa wakati wake!
 
Inauma sana unapojua kuwa Hawa wamekufa kwa sababu tu TANRODS mkoa was Iringa hawakutimiza wajibu wao. Kwakweli Mungu atusaidie ili mwezi wa kumi tupte viongozi tofauti na Hawa wa CCM.

Ipo siku utajikojolea kitandani, utasema CCM ndo wamesababisha!
 
Poleni wafiwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Poleni wafiwa. Kama kuna BAD road accident, hivi kuna GOOD road accident? Wengine tumesomea mwembeni.
 
Back
Top Bottom