UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

eeeh ajabu kubwa et utajuaje kama umepagwa udsm. Kwan ww ujaapply mkuu
 
apo ata mi ndo cjaelewa

kwenye hayo yaliyotoka officially kuna baadhi waliopata ingawa kwenye ile iliyoleak waliandikiwa not admit, na pia wapo ambao hawamo kwenye official list coz ile nyingine waliandikiwa not admit, sijui ile list ilikuwa inatoka tcu kwenda udsm, kama ni hivyo huenda walishapata vyuo vingine manake kwenye list ya wanaotakiwa kufanya 2nd round majina yao hayapo, ila kama hayo majina yalikuwa yanatoka udsm then yanaenda tcu huenda mtu akaambiwa kufanya 2nd round badae ingawa alishaambiwa provisionally selected,
 
Nina ukakasi na ya hayo majina maana hata kwenye adobe haifunguki.
 
Nahitaji kufahamu kama open pia wametoa.
Kwa mwenye kufahamu naomba anisaidie.
 

Apo nmekusoma Mkuu...Nashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…