Habari ya mda huu!
Kutokana na maswali yenu mliyo yauliza kuwa haya majina nimeyapata wapi iko hiv! Me nimetumiwa kwa email na email iliyonitumia sihifahamu! Ikiwa na hiyo heading niliyo weka kwenye uzi huu! Binafsi nimeangalia kwenye website ya chuo cjaona habari yoyote kuhusu haya majina!
Nimemuuliza email yangu ametoa wapi na haya majina ameyatoa wapi haja reply till now Nimeamini kama niyenyewe baada kumuona one of my friend amechaguliwa kozi aliyo omba udsm ndio maana nikaamua ku share na nyinyi watu wangu wa nguvu!
Nawasilisha!
nimeshakujibu mkuu hongera sanah
Plz kaka nchekie S0496/0533/2015Habari ya mda huu!
Kutokana na maswali yenu mliyo yauliza kuwa haya majina nimeyapata wapi iko hiv! Me nimetumiwa kwa email na email iliyonitumia sihifahamu! Ikiwa na hiyo heading niliyo weka kwenye uzi huu! Binafsi nimeangalia kwenye website ya chuo cjaona habari yoyote kuhusu haya majina!
Nimemuuliza email yangu ametoa wapi na haya majina ameyatoa wapi haja reply till now Nimeamini kama niyenyewe baada kumuona one of my friend amechaguliwa kozi aliyo omba udsm ndio maana nikaamua ku share na nyinyi watu wangu wa nguvu!
Nawasilisha!
Plz kaka nchekie S0496/0533/2015
ngoja wafike__ na kurepoti watajua kuna bata au kusoma..Mkafanye umalaya wenu sasa c ndio vinavyowapa Mzuka....Et chuo Bata he he he he mtakula Bata za disco nawaomben wadogo zangu msizidshe Bata tutawasahau kwenye historia ya wasomi
hivi kwa hao waliokataliwa kupewa admission udsm wataambiwa kufanya 2nd round tena au? Na je kama choice zao 4 zilizokuwa zimebaki walikuwa wana nafas zaid.
ngoja wafike__ na kurepoti watajua kuna bata au kusoma..
wakuu naombeni msaada kwenye vyuo walivyo toa post
S0228/0577/2015[/QUOT
aupo mkuu__
naomba msaada S1095/0037/2008
Na mimi naombeni msaada kuniangalizia namba yangu hii
S0110/0581/2014