UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)


asante kwa msaada wako bro.naomba msaada wako plz kuniangalizia hii namba s2893/0048/2012(form four index no)s0544/0543(form six index no)
 
samahanin sana wadau kuna dogo langu aliomba vyuo vya afya ngazi ya certificate necta vp post zao zitatoka lin?
 
samahanin sana wadau kuna dogo langu aliomba vyuo vya afya ngazi ya certificate necta vp post zao zitatoka lin?

NECTA au NACTE ?!kama NACTE selection zao tayar mkuu,mwambie aingie kwenye profile yake aangalie kama amebahatika ili aweze ku confirm
 
Ebu ingia Google na andika hivi " majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga usdm 2015/2016" then utayapata
 
Alafu kule hawaweki namba wanaweka majina halisi so kama unataka uangaliziwe weka jina lako halisi
 
Samahani kwa usumbufu mkuu, Naomba unisaidie kuangalia hii S 0417/0555
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…