UDSM PAMENUKA TENA no lectures

UDSM PAMENUKA TENA no lectures

Hivi nyie kila kitu mnachofanyiwa mnahisi kama mnaonewa!. Hayo ni mawazo mgando.
 
Hivi nyie kila kitu mnachofanyiwa mnahisi kama mnaonewa!. Hayo ni mawazo mgando.

Kwani lazima uandike kwenye huu uzi bana. Si upite kimya kimya. Maana unatushawishi hata sisi ambao hatujui kuandika matusi tuandike. toka bana.
 
Sakata linaendelea....usafiri wa mabibo umezuiwa kuufanya kazi...tunaelekea rev square masomo yamesitishwa ...keep you updated
 
Nipo UDSM maeneo ya UDBS hapa karibu na Auxiliary police...hali ni shwari kabisa!

Hali yaweza kuwa shwari kwa mtazamo wako, Je umeingia Lecture Theatres na Seminar Rooms ukakuta masomo yanaendelea? Ulitegemea hapo Auxiliary Police pawe na vurugu? au kuna madarasa hapo?
 
Mods nipe ban kwa maneno haya nitakayosema.
REJEO AND MZEE FU..CK YOU BI.TCH


Unajaribu eeeh! Utapigwa Ban kiukweliiii. Rejao keshaanza kuwataka Mods wapige watu ban humu JF, atakuchongea Mkuu!
 
Hii nchi sasa bila migomo na maandamano mambo hayaendi.
 
Nipo UDSM maeneo ya UDBS hapa karibu na Auxiliary police...hali ni shwari kabisa!

Kwanza wewe unaonekana ni jobless maana kila dakik uko hapa jamii forums. huna akili we mwanaume gani kama mwanamke changudoa?
 
Huyo rejao inaonekana nae atakuwa mtu wao tu. Haiwezekani watanzania wanadai haki zao ye anakenua kenua meno tu.Hopless.
 
Cafeteria zimefungwa hapa.Lakini bado hali ya sintofaham imejaa kwa baadhi ya wanachuo.Hakuna vurugu kivile but ndo tunasikia tu watu wametolewa madarasani.Updates zinakuja.
 
Gomeni tupo nyuma yenu mdai haki zenu za msingi,wao na watoto wao wananufaika na kodi za watanzania wakati nyie mnateseka.
 
Back
Top Bottom