Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,576
- 2,218
Kikundi cha wanaharakati wanahamasisha mgomo kudai haki ya wenzao waliofukuzwa chuo kutokana na mgomo wa juzi ijumaa....
Hivi sasa wapo kwenye kumbi za yombo kuwatimua wengine waliokuwa darasani kwa fimbo na nyimbo kuwa "hatusomi bila wenzetu"..
Keep you updated
Hivi sasa wapo kwenye kumbi za yombo kuwatimua wengine waliokuwa darasani kwa fimbo na nyimbo kuwa "hatusomi bila wenzetu"..
Keep you updated