Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
tushike lipi na tuache lipi? mmoja afafanue.Mpaka madogo wote walioko mtaani kwa kukosa mkopo watakapopewa,na hao raia wenzetu 15 walofukuzwa chuo watakapo rejeshwa chuon ndo na sisi tutafungua chuo.
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
hatimaye tunangoja siku 3 tufunge chuo masomo yamesitishwa Usalama wa Taifa mjue Hakuna wanaharakati ishu imeuma watu
tushike lipi na tuache lipi? mmoja afafanue.
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari[/QUOTE
we puppet nini? we ndiye unayepotosha umma. sisi tuko udsm na mambo si shwari.
..............................................Huyu Rejao ni recruit mpya wa UWT ndio maana ana kiherehere sana katika kutekeleza wajibu wake wa 'disinformation'. I know u! Wana JF msipoteze muda kwa huyu msaliti, just ignore him. Hebu endeleeni kutuletea details za kile kinachoendelea hapo 'Hill'.
the last time you did say something that was not a lie was when you told your mama your pee pee itches!Nipo UDSM maeneo ya UDBS hapa karibu na Auxiliary police...hali ni shwari kabisa!
unafikiri kila mtu anatumwa kama wewe???Mmetumwa kusoma au kuandamana.
Toka hii sredi imeanza sijaona update yoyote ya huo mgomo mnaoungelea...kazi kupingana na facts ninazowapa!
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari