Snia
Member
- Apr 3, 2012
- 49
- 6
Hakika uongozi wa chuo hiki umejawa na uozo, tamaa na uzembe haiwezekani mpaka xaxa wanafunzi hawajapewa hela yao ya kujikimu wakat wa mafunzo kwa vitendo, ukizingatia walitangaziwa kuwa malipo yatakamilixhwa tar 22 june, je huu ni uungwana wa MKANDALA na ndugu zake kuchelewexha hela za wanafunz huku zikiendelea kujizalixha kwenye akaunti yao?