UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
sasa kama jitu limepewa assignments na halijafanya,limepewa quizi halijafanya,test halijafanya..unataka nini zaidi kifanyike zaidim ya kumrudisha kwao akapumzike?
 
ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
Wewe nimekujibu vizuri sana kama unajielewa utakuwa umeelewa na thread closed ....

Vijana hawajaelezwa umuhimu wa Course work wamechukulia poa ...... 0 ni number mzee huwezi kupewa alama si yako ... hata wawekewe incomplete 400 no problem sasa nikuulize kwa nini hawajafanya QUIZ au TEST au ASSIGNMENT Alafu unategemea utajaziwa nini ???? Sifuli hapana huwezi pewa kwakuwa zero ni number mzeee ...vijana bado wanaona wako secondary pumbavu zao .... Fikiria wewe ndo maana nakuambia thread closed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama jitu limepewa assignments na halijafanya,limepewa quizi halijafanya,test halijafanya..unataka nini zaidi kifanyike zaidim ya kumrudisha kwao akapumzike?
Sawa sawa ndo hapo namuuliza unataka wawekewe 0 kwani wameifanyia kazi ...... yaani incomplete ni zaidi ya 0 yaani kwenye graph yuko upande wa negative ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo marks haziendani na matokeo yao ya form six.

Huoni kuna watu hapo wana hadi 16 ya ishirini ya test?? Huoni kuna watu wana adi 8ya 10 ya quiz??
Ulitaka mwalimu awape mtuhani mrahisi ata wale ambao hawajujiandaa vyema wafaulu??
Hizo course work zimebalance mbona fresh
Matokeo ya form six yanaingiaje sasa hapo??

Dogo embu piga msuli usijidanganye na matokeo yako ya form six utakuja udisco.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
YA KAWAIDA HAYO KWA VYUO VYETU. NA SIO UDSM TU HATA MZUMBE UZI NI HUOHUO. USHAWAHI KUPIGA OPEN TEST UKAPATA 0 NA UMEINGIA NA VITABU, LAPTOP SIMU YA MKONONI? NDO TUNAZALISHA WASOMI KWA NJIA YA KUKATISHANA TAMAA MWISHO WA SIKU UNA GPA YA 2.9 WAKATI ULIKUWA NA UWEZO MKUBWA SANA NA USISHANGAE ULISHAFANYA CPA NA KUWA BEST STUDENT KATIKA SOMO AMBALO MZUMBE ULIPATA 0
 
Huoni kuna watu hapo wana hadi 16 ya ishirini ya test?? Huoni kuna watu wana adi 8ya 10 ya quiz??
Ulitaka mwalimu awape mtuhani mrahisi ata wale ambao hawajujiandaa vyema wafaulu??
Hizo course work zimebalance mbona fresh
Matokeo ya form six yanaingiaje sasa hapo??

Dogo embu piga msuli usijidanganye na matokeo yako ya form six utakuja udisco.

Sent from my iPhone using JamiiForums
USICHANGANYE USIKU NA GIZA? SI KILA PENYE GIZA NI USIKU MUDA MWENGINE NI MABADILIKO YA TABIA NCHI. HONGERA KWA KUWASIHI VIJANA WASOME NA SIO KULIA MITANDAONI KWANI KUNA MAISHA NJE YA MITANDAO NA MIANDAO NA SHULE NI KAMA ARDHI NA MBINGU
 
ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
Hiyo sheria imeanza lini ndugu?.. mbona sisi wengine ilikua inageuka Technical Supp!..
 
ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
walikuwa wapi kufanya hizo assignments test na quiz? hawapo serious wanatumbua hela za HESLB hiyo ndio haki yao, kiongozi usiwatafutie public sympathy
 
Yaani mtu huingii vipindi bila sababu unakosa quiz unapewa assignment hufanyi tukusaidieje sasa??

Madogo someni wenzako wanafaulu wewe unalialia unaonewa. Shule haijawai kuwa raisi hata siku moja.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa wewe ulitakaje mkuu. Mtu kama hajafanya quiz au test unataka aandikiweje. Unaleta huruma kwenye mambo ya kitaaluma.

Hapo ni Udsm home of intellectual
 
hawa ni cream ya taifa,sasa inawezekanaje mtu apate 5 au 2?hapo kuna namna
Nadhani huwajui baadhi ya watoto wa siku hizi. Millenials wengi hawako makini na muda.

Uhuru wanaopata chuo ni mkubwa sana wanababaika nao na kuutumia vibaya.

Wengine wapo vizuri sana ndio maana umeona kuna coursework ya 30 na kundelea zipo pia ktk hiyo list.
 
ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
Chuo gani mtu mwenye incomplete anadisco??
 
Mnaacha kusoma unakimbilia jamii forum
Msituone kaka zenu tuna future. Tulihangaika na shule.
Mwanachuo muda wote yupo instragam unategemea nini.
Komaa kijana. Discussion+ Library+ good class attendance
No miracle in success!!!
 
Mkuu kwani ilibidi wapateje ao wana BAF

am better here
Kwa jinsi remarks ilivyo hao hawajafanya baadhi ya mitihani, wapo ambao hawajafanya Quiz au wengine hawafanya test, sijui kama nimeelewa vibaya
Ila hiyo ni kawaida kwa watu wa chuo, maana kipindi cha test au Quiz wengine ni wagonjwa n.k
Sijui mtoa maada ana lengo lipi? adadavue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom