ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,517
- 3,752
Kuuza makande ni bora zaidi kuliko kutumika kama toilet paper ya watawala.wakitoka hapo wanaenda kujiajiri kuuza makande hehehe
Sent using Sukhoi Su-57
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuza makande ni bora zaidi kuliko kutumika kama toilet paper ya watawala.wakitoka hapo wanaenda kujiajiri kuuza makande hehehe
Hajui huyu kama ukianza chuo unaanza upya, sie Second best student wetu alipata 3 point 17, chuo alikua anasoma balaaHuoni kuna watu hapo wana hadi 16 ya ishirini ya test?? Huoni kuna watu wana adi 8ya 10 ya quiz??
Ulitaka mwalimu awape mtuhani mrahisi ata wale ambao hawajujiandaa vyema wafaulu??
Hizo course work zimebalance mbona fresh
Matokeo ya form six yanaingiaje sasa hapo??
Dogo embu piga msuli usijidanganye na matokeo yako ya form six utakuja udisco.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata huko hayupo! yupo kusikojulikana ila kwake tuSawa sawa ndo hapo namuuliza unataka wawekewe 0 kwani wameifanyia kazi ...... yaani incomplete ni zaidi ya 0 yaani kwenye graph yuko upande wa negative ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan we ulitakaje?Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na finance tu.
Sijaelewa kunashida gani ......
40marks plus 60 UE =100
Course work :-
~10 Quiz
~20 Test
~10 Assignment
Sasa hujaelewa nini ????
Hata mimi nimesoma hapo UDSM na ndo hivyo sasa wewe swali lako lipi?
Au walivyojaziwa INCOMPLETE ????
Ndo mjue huko siyo secondary ukipewa Quiz fanya ukipewa test fanya pia au assignment fanya....
Kama hujafanya Assigment unataka uwekewe 0 hivi wewe hujui 0 pia ni namba huwezi kuwekea kwakuwa huja ifanyia kazi kupata hiyo 0 so matokeo yako ni incomplete. ...
Ukiwa UDSM fuata kilicho kupeleka siyo unakomaaa na UE ukadharau Course work ni bora upate 0 kuliko incomplete ....
NB.
0 its a number you have to earn it ..... soma wacha ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitaendanaje wakati ni vitu viwili tofauti? Kwani ukifaulu mtihani mmoja ni lazima ufaulu mwingine? Bottom line Tanzania tunadhani elimu ni kuwa na vyeti vyenye marks nzuri kumbe elimu ni kupata uwezo wa kuweza kukabiliana na changamoto za maisha yetu.hizo marks haziendani na matokeo yao ya form six.
Mkuu unajikanyaga saana,, haya mambo ya chuo huyawez kbsa! Unajiabisha bureni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
Leta hiyo sheria hapa tukubaliane, usirukeruke kama chura..Mkuu huko kwenu teoflo kisanji ukiwa na incomplete unapongezwa?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa kama hawajafanya papers au assignment s marks zitatoka wapi?ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
Sasa mkuu hapo si 5 +10+10=25 amahawa ni cream ya taifa,sasa inawezekanaje mtu apate 5 au 2?hapo kuna namna
We jamaa utakuwa unetumwa wewe
Izo course work zina shida gani??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ndo hujaelewa ....mimi nimemwelewesha asiwe na ile ideology ya cream ya taifa kupeleka Chuo ni upumbafu sasa wewe ni cream sijui tui la taifa sasa hufanyi course work ifaavyo usaidiwe vipi? .... Huyu anaona waliokuwa hapo ni vichwa hasaa ila anashindwa kutofautisha kati ya Chuo na Secondary .... chuo mambo mengi uhuru kashindwa kuutumia vizuri wengi wameishia mlimani city na bet station na kucheza PS .....Umeelezea maelezo ambayo kila mtu anayajua boss, haaaaah haaaaah hata aliyeleta anajua,tatizo hajasema shida ni nini hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo mambo yanaanza upya,hizo marks haziendani na matokeo yao ya form six.