UDSM mbona mnatugeuza mradi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM mbona mnatugeuza mradi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tindikalikali, Oct 8, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Mwanzo mlisema hela ya kukodi joho ni tsh. 42,000 { sijajua mmetumia vigezo gani}, kabla ya hili halijaisha wamekuja na sh. 5000 ambayo hawakuisema mwanzon, wanadai ya mhur na TRA. Hivi kuvaa joho pekee nitumie 47,000 kwa lipi hasa? Tafuten pesa lakin si kwa stahil hii.
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kaka sio lazima uvae joho ndo uonekane ume graduate!!!! What matters umehitimu na jina lako litasomwa kwenye orodha ya wale wanaopaswa kutunukiwa degree. Kama unataka kuuza sura kazi kwako inabidi 47000 zikutoke, otherwise inabidi upotezee, hapo bado gharama ya Nauli kukutoa Kigoma na kukurudisha.
   
 3. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Acha ubahili we dogo, kama unaweza shona lako na uendenalo tuone kama watakutimua. halafu mwakani utawakodishia wengine.
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  umenena mkuu, hilo joho lingekuwa linaongeza GPA labda
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ishu siyo ubahiri, naongelea uhalali wa hyo 47,000
   
 6. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wizi mtupu.
   
 7. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wangetoa kwanza GPA wengi wasingekimbilia kuvaa majoho.
   
 8. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  ndo mana mimi nimeamua kutofanya coz haina maana yoyote kwangu!
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  uamuzi sahihi umefanya, ni ubabaishaji mtupu unaoendelea.
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Lakini kuna kiasi cha fedha hapo utarudishiwa iwapo utalirudisha joho likiwa salama!
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ni % gani wanarudisha mkuu.
   
 12. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  wanarudisha buku kumi,na si kirahis rahis,graduation mother**** 50 thousand?? Si fanyi, na nina enjoy 2!kudadek mkandara bwn! Hela hela hela,kwenden kule! Udsm mmh!
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Vyanzo vya mapato udsm
   
 14. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wizi umezidi ni aibu sana kwa institution kubwa kama hiyo kushindwa kutoa mchanganuo wa fedha.hapa ni kuwa nyanyasa watoto wa masikini natoka bukoba nauli..............................+gest............................+joho.........................................+sina ajira...........................nimetengwa na nchi yangu.
   
 15. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  udsm??!!.. ndo nini?.
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  udsm ni viazi mviringo.
   
 17. M

  MyTz JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahahahahahaha...
  mkali umeniacha hoi...
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  vipi mkuu, si hajui UDSM ni nini?
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  jiheshimu mkuu.
   
 20. Ambakisye Lazar

  Ambakisye Lazar Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. viaz mviringoooooooooooo. hahaha. tena vilivyochemshwa
   
Loading...