Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Ilikuwaje Mkuu tindikalikali?Wale jamaa hata hawafai japo nilipata A kozi mbili nilisoma kule.
Ilikuwaje Mkuu tindikalikali?
Poleni sana.Sasa wenzenu tulikuwa tunasoma Law of Contract ya units 6...mwaka mzimawatu walikamatwa sana mwaka wetu...
Maana Bcom ilikuwa ni lazima tusome "Law of contract" 2nd year
na "Sales of Goods law" 3rd year....
Poleni sana.Sasa wenzenu tulikuwa tunasoma Law of Contract ya units 6...mwaka mzima
Sijui kwakweli.LAKINI NADHANI MFUMO WA KUFUNDISHA KOZI KWA MWAKA MZIMA UNACHANGIAduh kumbe pale tulionjeshwa tu...
Ila Perfect alifanya course iwe poa, class ni full chai...
Lakini unadhani sababu za kutopata first class ni nini? Kozi ngumu au ukiritimba?
Sijui kwakweli.LAKINI NADHANI MFUMO WA KUFUNDISHA KOZI KWA MWAKA MZIMA UNACHANGIA
Kumbe huyu "Mama" naye ni 'kipanga' enhe?....Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba....
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu Julius Nyerere Mlimani Campus kikiwa na Koleji na Shule Kuu mbalimbali.
Tangu kuanzishwa kwake,Kitivo cha Sheria kimetoa wahitimu wanne tu waliokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza(yaani First Class-GPA ya 4.4 hadi 5.0).
Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba. Hawa wanastahili sifa.Wanastahili kuitwa 'the Big Four'.Tangu mwaka 1992,hakukuwa na Daraja la kwanza lingine.
Wengine tulijaribu lakini tukashindwa.Tukaishia na Daraja la Pili la Juu (Upper Second Class). Ikumbukwe kuwa,Kitivo cha Sheria ndicho kinachochukua wanafunzi wanaofaulu zaidi,'the Cream of the Nation' kwa masomo ya sanaa(lakini kwasasa TCU wanaleta hata daraja la pili).
Juhudi ziongezwe kwa wengine kupata Daraja la Kwanza kitivoni hapo.Wapo watakaoweza. Wajiunge na wastahili hao. Mazingira ya kujisomea UDSM yanaboreshwa kila kukicha. Inawezekana hata kwa wengine.
Ni kweli MkuuKumbe huyu "Mama" naye ni 'kipanga' enhe?
Kumbe huyu "Mama" naye ni 'kipanga' enhe?
watu walikamatwa sana mwaka wetu...
Maana Bcom ilikuwa ni lazima tusome "Law of contract" 2nd year
na "Sales of Goods law" 3rd year....
Hakuna zaidi ya hao Mkuu...zote zilizobaki ni porojo tuHuyu Afande Tibaigana (RTRD) vipi nae niliwahi kusikia ni First Class au maneno ya kashata na Gahwa?
Huyu Afande Tibaigana (RTRD) vipi nae niliwahi kusikia ni First Class au maneno ya kashata na Gahwa?
Hizo grade ni number tu, ila kwenye tasnia ya sheria tanzania hakuna na itachukua muda mrefu kuwapata kama wafuatao, James Mwalusanya (RIP), Kawa Lugakingira (RIP), Buxton Chipeta, Dan Mapigano, wote 4 walikuwa majaji. Prof. Maina Chris Peter, Twaha Ulimwengu (General Ulimwengu) Tundu Lissu, na Halima Mdee, hao uliowataja na first class zao ni sawa na Sofia Simba na masters yake ya Law japo hawezi kuongea sentence 2 za kiingereza